Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Si mlisema Chadema imekufa mbona mnahangaika nayo.

Alafu huyo Mkuu wa Wilaya anajua Katiba ya Warioba itafuta hicho cheo ni hofu yake tu.
 
Alichokosea hapo mbowe ni kipi???? Mbona CCM kila siku wao wanafanya mikutano bila bughuda yoyote, katiba sio ya mbowe, katiba ni yangu mm na wewe hivyo, sio swala la upinzani!! Tunataka katiba sio kuwa na bunge ambalo wabunge wake hawalipi kodi
Ukweli ndoo huo tunataka katiba mpya yenye maslahi kwa wananchi sio ccm
 
UPUUZI MTUPU!!!
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
 
Yote hayo Mbowe hana makosa Bali makosa yapo kwa mama, huwezi waendekeza Hawa watu hata siku moja, sasa wacha mama avune alicho kipanda.

Kuhusu suala la ma DC kutukanwa pia hilo mama ana husika kwasababu aliwasikiliza hata kwa maneno ya uongo juu ya sabaya japo nikweli kwamba yote siyo ya uongo.

Point yangu nikwamba mama aache kabisa kusikiliza maneno ya mitandao, ilifikia mahali mama yy hata maamuzi mengi anachukua kutoka mitandao, FB wakisema fukuza huyo kesho Hana kazi.
YES! Aliwaaminisha kwamba ma-DC ni watu wa kushikishwa adabu. Wao kule wakapamba moto na kununua mashahidi. Eti watu walikatwa masikio. Eti wameonewa saaaana! Sasa ndo atajua kwa nini Sabaya aliwafanyizia hizo na pole pole akili ikiwa inarudi, Sabaya ataachiwa mitaani.
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.

Number 3 ndio siasa haswaa

CDM wanatakiwa kupiga uturn na kuwa na mentality ya magufuli na kupora ajenda zake zote...CCM watachutama

sasa wamekaa ki kike kike, kishoga shoga, kulalamika lalamika, kujihurumia...na kitaka wahurumiwe
 
Sio

Sio kweli!! Wewe unafikiri kuwapata watu mpaka mtu aende mwanza!! Nini maana ya mitandao ya kijamii!! ???katiba sio ya mbowe ni wananchi wote na wewe ukiwemo
Then why anaforce physical meeting?

Si angefanya online?
 
Kwa hiyo unajisifu kuwa wewe ndio mtoa ushauri /muona mbali
 
Bongo huwa hakuna siasa za kweli...

Kuna Mtawala na watawaliwa
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Wewe unaonekana ni shabiki kama shabiki wa mpira vile, ni ccm kweli kweli, nawe utavuna kilichomo moyoni mwako.
 
Polisi ni MTU mwenye akili sana tena sana kuliko ufikiriavyo isipokuwa baadhi yao wameruhusu kushikiwa akili zao na wachawi, sasa nguvu ya uchawi ndiyo inayowazingua kiakili,kimwili si ajabu na kiroho pia. Au nasema uongo ndugu zangu eeh??
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Mbona wewe na shaka wote wajinga halafu mnakalia vitu vigumu
tapatalk_1626874233938.jpeg
 
Vyovyote vile itakavyo kuwa lakini hawezi kufikia unyama wa meko!!ule ulikuwa ni zaidi ya ubinadamu, wala usitegemea kwa haya yanayoendelea kuwa kuna mwanasiasa atakuja sema bora awamu ya meko!!
 
Jit
Alichokosea hapo mbowe ni kipi???? Mbona CCM kila siku wao wanafanya mikutano bila bughuda yoyote, katiba sio ya mbowe, katiba ni yangu mm na wewe hivyo, sio swala la upinzani!! Tunataka katiba sio kuwa na bunge ambalo wabunge wake hawalipi kodi
Jitokezu uiombe wewe na sio wanasiasa.
Kwani wewe unaogopa kuwawakilisha wananchi?
Tuanataka katiba ya wananchi na sibkatiba ya wanasiasa.
 
Back
Top Bottom