Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

Hizo picha uizoweka bado hazitabadili ukweli kwamba stori yako ni ya kutunga tu!fiksi....hata ujaze mapicha kibao huo ndo ukweli.....hata kama ulifika hayo maeneo .....suala la msingi acha fiksi ...wewe ni MTU mzima!usilazimishe hadithi za kusadikika kama hii iwe ya ukweli!
Nani kakulazimisha umsome?
 
Namuunga mkono Faizafox, hili jamaa liongo sana, nashangaa nyie vichwa Maji mnamsikiliza ujinga na upuuzi wake. Nyamisati Mimi naijua vizuri na huko ni kwetu, anayoeleza hapa ni uongo mtupu, ongo sana hili lijamaa
Kichwa maji mam-mako
 
Naam, umenena vyama kabisa.

Kama kutanabahisha tumesha tanabahisha sasa tunafata ilm tuliyoletewa na Allah:

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Maelezo
Toa majini yako hapa
 
Nilitoka Dar kwa dharura kuelekea sehemu ambako nitapata kile kinachonipeleka huko, safari yangu ikanipeleka mpaka Nyamisati, nikalala pale.

Nyamisati – Wikipedia
UrlAdvisorGoodImage.png


Ase nikalala pale then next .........................
 
Nilitoka Dar kwa dharura kuelekea sehemu ambako nitapata kile kinachonipeleka huko, safari yangu ikanipeleka mpaka Nyamisati, nikalala pale.


Hahaaaa ! Mkuu unamiliki hiyo Co.

2184 - MjengwaBlog
UrlAdvisorGoodImage.png

mjengwablog.com/chambuzi/itemlist/.../640-mjengwablog.html?... - Translate this page
Mkuu wa Zahanati ya Nyamisati, iliyopo wilaya Rufiji Mkoa wa Pwani Bw.Haruna ... Bodi ya Utalii Tanzania TTB Kampuni ya Witch & Wizard Creative (PYT) Ltd ...
 
Mshana hapa kaamua wale ndugu wafivu kwa kuvuatilia unzi hapa lazima wasome unzi kila page manake story himo katika mpangilio mvya.hehee.
Hii ni lugha gani ulichoandika nadhani sio kiswahili hiki
 
Nimetamani kusimulia hiki kisa muda sasa lakini waungwana walikuwa hawajatoa ruhusa bado.

Nilipotea kwa vipindi viwili vyenye jumla ya siku 23, kati ya siku hizo ni siku chache sana nilikuwa nje ya Tanzania, nyingine zote nilikuwa hapa hapa ila kwenye dunia isiyoaminika na wengi, dunia ya ushirikina na uchawi katika uhalisia wake.

Nitangulie kuomba radhi sitaandika kila kitu bali yale ya muhimu tu nitakayoona ni muhimu kuandika.

Nilitoka Dar kwa dharura kuelekea sehemu ambako nitapata kile kinachonipeleka huko, safari yangu ikanipeleka mpaka Nyamisati, nikalala pale.

Siku ya pili asubuhi nikadamkia bandari bubu iitwayo gezani.... vituko vilianzia hapo.
Funguka zaidi mkuu.
 
Ndio maana hua nakuita wewe ni bingwa wa kujitega,

Hebu rudi nyuma kasome comment number 517 kuna mdau amekutaka uthibitisha jambo fulani, je umelithibitisha?


Usihangaike kutafuta huruma za watu "sympathy" kwa hivi vicomment vyako vya kujikomba, huwezi kukipoteza hiki kizazi na hasa vijana kwenye mustakbali wao, kizazi kinachotegemewa na familia zao na taifa kwa ujumla kwa kukilisha ujinga wa kusadikika nasi tukakutazama tu, hilo sahau kabisa,
Halafu ni bora uandike kwa kiswahili tu coz unazidi kujiaibisha kwa hizo broken zako,tutakusahihisha mpaka lini?
Popoma Genta mshana kakukosea nni?,mbona unamuandama sana?
 
ID kibao Na ile nyingine ya labigirita sijui labingirika?
Kwavile wewe una ID kibao za kuwapata hao misukule wako ndio unafikiri wote tuna tabia hizo? Mimi ni mwiba kwako weka kichwani hilo, wewe endelea kutafuta Likes na kujaza mada za Kijinga JF coz huo ndio ulioamua kua ni urithi utakao waachia wanao..!!
 
Back
Top Bottom