Kile kipindi ambacho nilipotea

Naam, muhimu tunawatanabahisha kila tunapoweza.

Tumeyaona mengi, kumbuka hilo.
Mmeyaona wapi mengi acheni kujipa ustaa hapa mnatuambia nyie wazaz wetu au tumewatuma mtuambie, tuliokubal kudanganywa ni sisi wewe kiherehere wa kutuambia kua tunapigwa fiksi unautoa wap, tulikukaribisha ..hatutaki kwani lazima pelekeni wosia wenu kwenye thread nyingine
 
Muulize wako wangapi?
 
Ana wivu huyo nimegundua.
Kuna watu wanautafuta usupastaa kwa nguvu humu jf.
Duuu Faiza sikubaliani naye kwenye mambo mengi kama hichi anachofanya humu kwenye uzi wa Mshana ila hili la kutafuta umaarufu kwa nguvu unamwonea bure sijui kama kuna mwana mama maarufu zaidi ya Faiza humu Jf
 
Sisi shida yetu stori. Si lazima iwe kweli
 
Kwani wameliwa nini
 
Duuu Faiza sikubaliani naye kwenye mambo mengi kama hichi anachofanya humu kwenye uzi wa Mshana ila hili la kutafuta umaarufu kwa nguvu unamwonea bure sijui kama kuna mwana mama maarufu zaidi ya Faiza humu Jf
Mbona wapo wengi tu tena wenye staha na stara zao kabisa?
Mamndenyi
Evelin salt
miss chagga
Heaven Sent
niah
Nk nk list ni ndefu sana,wako bora Mara mia kuliko huyo mgumba mnuka naniliu
 
Mbona wapo wengi tu tena wenye staha na stara zao kabisa?
@mamdenyi
Evelin salt
miss chagga
Heaven Sent
niah
Nk nk list ni ndefu sana,wako bora Mara mia kuliko huyo mgumba mnuka naniliu
Mkuu mimi siongelei staha au stara ,kusema Faiza anatafuta usupastaa Jf ni kumwonea bure

Wote uliowataja ni sawa wanajulikana humu ila sio kwa kiwango cha huyu Faiza
 
Mkuu mimi siongelei staha au stara ,kusema Faiza anatafuta usupastaa Jf ni kumwonea bure

Wote uliowataja ni sawa wanajulikana humu ila sio kwa kiwango cha huyu Faiza
Oya umaarufu una pande mbili positive na negative! Niliowataja wako positive huyo wako ni negative parcee
 
Very wrong indeed! Mpende huyo lakini jua uko totally wrong young guy
Siko hapa kwa ajili ya kumpenda au kumchukia mtu mzee

Nilichosema ni mawazo yangu juu hilo la Faiza kutafuta ustaa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…