Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
mshana jr akudanganye ili apate nini?Usisahau kuwa Nyamisati ipo, tena ni karibu sana na kwetu kwa asili.
Hizo hadithi za kitoto chini ya mwembe usiku huku tumewasha moto tunapiga porojo kutishana, hususan tulipopata mapumziko shule tuliokuwa tukisoma jijini.
Hatudanganyiki.
Hakuna kitu kibaya mtu kuugua maradhi sugu ya aibu huku ni mgumba na mkiwa! Upweke ni habari nyingine, watu wa kaliba hii ndivyo walivyo tuwaombeeHuyu bibi FaizaFoxy ameharibu thread yetu.
Yaani tabia ya hiki kibibi humu Jf imenichosha, kwanza hukuti ameanzisha thread, kazi ni kurekebisha typing errors za watoa comments nahisi hata kwenye kutoa unyumba anachepusha njia kuelekeza mpini nchi ya ng'ambo...anamkosoa hata Muumba.
BAK umetisha.Duh! Mkuu utamu unaanza kunoga nawe ndiyo unajongomea! Ukimaliza hii ruhusu wale wenye maswali wakuulize maswali kuhusiana na hii habari.
Mwanaizaya atabaki kuwa mwanaizayaNimejibu swali kama hilo juu huko, zunguka zunguka kwenye uzi utalikuta.
ujanja mwingi mbele giza !! haya shule ya ujinga iko wapi na nani wanasoma huko. kumbe na wewe ni walewale tu..kama umedanganywa ww basi waachie wengine wajadili! mleta mada hajakujibu hata mstari mmoja..pia hujalazimishwa usome hii mada,Kwa maandishi yako tu unaonesha jinsi ulivyosomea ujinga.
Naam ndio mie mkuuWewe ni Nzalendo yule yule uliyetembea Tanzania nzima ? Basi kwa maneno hayo hapo juu naanza kukuelewa kuna dots naunganisha hapa
Kipindi hicho kwenye ndege walisha nipiga STOPfunguka mkuu,ulipotea na ndege?,
ujanja mwingi mbele giza !! haya shule ya ujinga iko wapi na nani wanasoma huko. kumbe na wewe ni walewale tu..kama umedanganywa ww basi waachie wengine wajadili! mleta mada hajakujibu hata mstari mmoja..pia hujalazimishwa usome hii mada,
huwezi kuwa timamu ukawa unabishana na kila mtu, hata busara ya kukaa kimya hamna, tena mwanamke!
Buji wapuuzi huwa hawajibiwi...learn it from me! Mpe maumivu makali kwa kukaa kimya kabisa
Si shule uliyosoma wewe.
Mada ipo "open forum" au haulewi maana yake? SIO KULA MADA LAZIMUCHANGIE
Kuwa mwanamke kuna kupa tatizo? Ulifikiri mitandao imewekewa wanaume tu?, MWANAMKE NI STARA!
Wewe kwa hakika umesomea ujinga. No doubt.MWALIMU ALIKWA WEWE, HONGERA MWALIMA
Imefahamika,Faizafoxy ni mbibi anayesumbuliwa na roho mbay,ugumba,menopause, wivu wa kijinga,ukosefu wa busara wa kiwango cha PhD, kujipendekeza kukosoa kila kitu as if ni mwanafunzi wa IQ ndoooogo kabisa tena ya kiwango cha darasa la kwanza C. Sio siri tena ni mwanamke aliyeishi kuroga na kuambulia kupata mikosi ambayo ndo hii inayoendelea kumjawa. Ivi kichaa akichukua nguo zako akikimbia nazo utamkimbiza uchi????
Ukimkimbiza uchi basi ww ndo watasema kichaa. Kama ww ni mpenzi na mfuatiliaji wa threads za mshana Jr regardless km ni story za kwel au za uongo ila tu zinafundisha yanayojiri kila pembe ya mkoa au nchi basi hauna budi kujibizana na mwanamke mwenye akili za kushikiwa,
huwezi kuwa timamu ukawa unabisashana na kula mtu, hata busara ya kukaa kimya huna, tena mwanamke! wa aina hii huitwa 'kigego' kwa dini yetu hawezi kupandisha sauti mbele za watu...
Mada ipo "open forum" au haulewi maana yake? SIO KILA MADA LAZIMA UCHANGIE
Kuwa mwanamke kuna kupa tatizo? Ulifikiri mitandao imewekewa wanaume tu?, MWANAMKE NI STARA! SIO UBISHI
Wewe kwa hakika umesomea ujinga. No doubt.MWALIMU ALIKWA WEWE, HONGERA MWALIMU WA WAJINGA
Haka ka bibi haka sikapendi!Wacha porojo wewe, utadanganya manyumbu tu humu. Nilishakubamba uongo wako siku nyingi sana.
Nyie ndiyo mara mnatangaza "Mimi nabii" na misukule wamo wanawafata tu.