Kile kipindi ambacho nilipotea

...kama ushamjua ni muongo si umpotezee tu?..au ukiona jina tu kuna vitu vinakunyevua...
..kama vipi mtunuku akuchape nao akusuuze,muwasho utaisha!
.wajipa tabu ya nini
 
haya bwana tunashukuru kwa habari japo imeishia pazuri sana Mshana
 
...kama ushamjua ni muongo si umpotezee tu?..au ukiona jina tu kuna vitu vinakunyevua...
..kama vipi mtunuku akuchape nao akusuuze,muwasho utaisha!
.wajipa tabu ya nini

Unaonesha mzoefu wa kuchapwa nao.

Hongera.

Unataka mtu anasema uongo jukwaa la wazi halafu tunaojuwa kuwa huo ni uongo tumezee tu?

Hilo haliwezekani.
 
Unaonesha mzoefu wa kuchapwa nao.

Hongera.

Unataka mtu anasema uongo jukwaa la wazi halafu tunaojuwa kuwa huo ni uongo tumezee tu?

Hilo haliwezekani.
....kufumba macho sio kujificha bhana;
..we mtunuku tu utii kiu yako hii ligi iishe!
 
Naam mkuu,mbona umekatisha,,,Binafsi nilishawahi kupotea wakanitafuta nikarudi baada ya maombi mazito na wao kufunga...nataka nilinganishe kama hii inafanana na hiyo.
funguka mkuu,ulipotea na ndege?,
 
dawa yangu hujanipatia basi naomba unielekeze kwa rasta nyoka maana kazi yangu ni moja kumuadabisha huyu mwakanza ya ziwa wa magogoni
 
dawa yangu hujanipatia basi naomba unielekeze kwa rasta nyoka maana kazi yangu ni moja kumuadabisha huyu mwakanza ya ziwa wa magogoni
Mkuu huyo muache, ni kama mbio za sakafuni tu!
 
Aiseew bora sikuendelea kusoma jana usiku. Kumbe na wewe ni muoga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…