baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Jamani kila siku watu wanaliponda domo la diamond,ebu niwaulize nyie wenye midomo mizuri inawasaidiaje?au imewanufaisha kwenye kitu gani?
Mwezenu anapiga pesa kupitia domo iloilo mnaloliponda kila siku. Haya Mungu kawapa midomo mizuri matokeo yake mnaitumia visivyo, umbea wewe, uwongo wewe, uchonganishi wewe, mpaka vidole vyako have adapted hivyo vitabia vya mdomo wako kila saa vinawashwa kuandika umbeaumbea na uwongo. Kweli kwenye miti hakuna wajenzi. Mdomo umekuwa kero kila kona ofisini, mtaani, nyumbani mpaka vijiweni.