Kila siku domo la Diamond, la kwako Je?

Kila siku domo la Diamond, la kwako Je?

Jamani kila siku watu wanaliponda domo la diamond,ebu niwaulize nyie wenye midomo mizuri inawasaidiaje?au imewanufaisha kwenye kitu gani?
mwezenu anapiga pesa kupitia domo iloilo mnaloliponda kila siku.haya mungu kawapa midomo mizuri matokeo yake mnaitumia visivyo,umbea wewe,uwongo wewe,uchonganishi wewe,mpaka vidole vyako have adapted hivyo vitabia vya mdomo wako kila saa vinawashwa kuandika umbeaumbea na uwongo.kweli kwenye miti hakuna wajenzi.mdomo umekuwa kero kila kona ofisini,mtaani,nyumbani mpaka vijiweni.

Wewe ni wema masebutu au?
 
Hizo pesa anazopiga sasa mimi zinanisaidia nini?, sasa kama ana domo kubwa na chapati anatupiamo bila kukunja tusiseme eti kisa anapiga hela? au nikuulize wewe mleta thread huyo diadomo wako hana domokubwa ka ile katuni ya chai jaba?

Hujafa hujaumbika, acha kufuru wewe.....wewe unajiona umetimia umejiumba mwenyewe???
 
Mdomo wa diamond kazi yake kubwa kungata kipele cha wema
 
Hizo pesa anazopiga sasa mimi zinanisaidia nini?, sasa kama ana domo kubwa na chapati anatupiamo bila kukunja tusiseme eti kisa anapiga hela? au nikuulize wewe mleta thread huyo diadomo wako hana domokubwa ka ile katuni ya chai jaba?

Usimuhukumu mtu wala kumtoa kasoro bana
 
Jamani kila siku watu wanaliponda domo la diamond,ebu niwaulize nyie wenye midomo mizuri inawasaidiaje?au imewanufaisha kwenye kitu gani?
mwezenu anapiga pesa kupitia domo iloilo mnaloliponda kila siku.haya mungu kawapa midomo mizuri matokeo yake mnaitumia visivyo,umbea wewe,uwongo wewe,uchonganishi wewe,mpaka vidole vyako have adapted hivyo vitabia vya mdomo wako kila saa vinawashwa kuandika umbeaumbea na uwongo.kweli kwenye miti hakuna wajenzi.mdomo umekuwa kero kila kona ofisini,mtaani,nyumbani mpaka vijiweni.
Mwenzenu domo lake anajua kulitumia na kumwingizia pesa.
Sijui wengine.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    7.1 KB · Views: 77

Similar Discussions

Back
Top Bottom