kweli Jf imevamiwaHizo pesa anazopiga sasa mimi zinanisaidia nini?, sasa kama ana domo kubwa na chapati anatupiamo bila kukunja tusiseme eti kisa anapiga hela? au nikuulize wewe mleta thread huyo diadomo wako hana domokubwa ka ile katuni ya chai jaba?
Hizo pesa anazopiga sasa mimi zinanisaidia nini?, sasa kama ana domo kubwa na chapati anatupiamo bila kukunja tusiseme eti kisa anapiga hela? au nikuulize wewe mleta thread huyo diadomo wako hana domokubwa ka ile katuni ya chai jaba?
Jamani kila siku watu wanaliponda domo la diamond,ebu niwaulize nyie wenye midomo mizuri inawasaidiaje?au imewanufaisha kwenye kitu gani?
mwezenu anapiga pesa kupitia domo iloilo mnaloliponda kila siku.haya mungu kawapa midomo mizuri matokeo yake mnaitumia visivyo,umbea wewe,uwongo wewe,uchonganishi wewe,mpaka vidole vyako have adapted hivyo vitabia vya mdomo wako kila saa vinawashwa kuandika umbeaumbea na uwongo.kweli kwenye miti hakuna wajenzi.mdomo umekuwa kero kila kona ofisini,mtaani,nyumbani mpaka vijiweni.
hivi mleta mada ni jinsia gani?...maana haileti maana mwanaume anayejiita baba fulani kuleta mada ya kujadili mdomo wa mwanamume mwenzake!!!!!
Hebu sikiliza kibao hiki kwa makini halafu ikifika zamu ya DRAKE nae msikilize kisha utaniambia umepata picha gani?Jamani kila siku watu wanaliponda domo la diamond,ebu niwaulize nyie wenye midomo mizuri inawasaidiaje?au imewanufaisha kwenye kitu gani?
mwezenu anapiga pesa kupitia domo iloilo mnaloliponda kila siku.haya mungu kawapa midomo mizuri matokeo yake mnaitumia visivyo,umbea wewe,uwongo wewe,uchonganishi wewe,mpaka vidole vyako have adapted hivyo vitabia vya mdomo wako kila saa vinawashwa kuandika umbeaumbea na uwongo.kweli kwenye miti hakuna wajenzi.mdomo umekuwa kero kila kona ofisini,mtaani,nyumbani mpaka vijiweni.
kweli Jf imevamiwa
Diamond ana domo kubwa na lips zilizoshiba hata ivyo Mungu hakunyimi kila kitu kampa domo kamnyima kibamia ndo mana anabanjua malaya ambao ni classic!!
Mama Kelvi,hee!!! samahani baba kelvin ulijuaje diamond hana kibamia.mbona unanipa hofu au ndiyo mambo haki sawa kwa wote.
Hizo pesa anazopiga sasa mimi zinanisaidia nini?, sasa kama ana domo kubwa na chapati anatupiamo bila kukunja tusiseme eti kisa anapiga hela? au nikuulize wewe mleta thread huyo diadomo wako hana domokubwa ka ile katuni ya chai jaba?
Na mdomo wa kocha wa Spain mliuona jana wakati aliposhikwa na uchungu.
Kila siku ntaendelea kusema dalili mojawapo ugersho ni kuchukia maendeleo ya mwanaume mwenzako.