hivi mleta mada ni jinsia gani?...maana haileti maana mwanaume anayejiita baba fulani kuleta mada ya kujadili mdomo wa mwanamume mwenzake!!!!!
Bila shaka mr.domo anakugo nga wewe.
Mama Kelvi,hee!!! samahani baba kelvin ulijuaje diamond hana kibamia.mbona unanipa hofu au ndiyo mambo haki sawa kwa wote.
Na mdomo wa kocha wa Spain mliuona jana wakati aliposhikwa na uchungu.
gender ya huyu jamaa ni questionable!
m-pumbavu huyo ana midomo gani mizuri? Unamjua? Si ajabu nae anatembelea mikono sema tu fomula ykama nimeandika uwongo ebu tutajie faida hata moja iliyotokana na hiyo midomo yako mizuri.siku zote ukiona mwenzako kafanikiwa kaa chini umiza kichwa,sababu maendeleo yoyote yanakuja kwakuona au kusikia.kuponda hakutokusaidia.
kama nimeandika uwongo ebu tutajie faida hata moja iliyotokana na hiyo midomo yako mizuri.siku zote ukiona mwenzako kafanikiwa kaa chini umiza kichwa,sababu maendeleo yoyote yanakuja kwakuona au kusikia.kuponda hakutokusaidia.
Masho.ga nd'o wanaopindwa! Jichunguze vizuri!
We nawe utapasuka kichwa kwa maID fake ya Jf wewe mwenyewe hapo unaweza kukuta ni liana makinda au mizengwe pinda umekomaa na uzi wa diamond hahahaha!
e banaeeeh babu jana alikuwa akiubinua binua mdomo kama vile beberu linalonusa ile kitu ya mbusi jike wakati akishuhudia jamaa wa holand wakimsulubu casilasi