BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Je, una unique feature yoyote kimaumbile ambayo inafanya watu wakuangalie sana!?
Utotoni sikumbuki vizuri ila kwa sasa imeshamiri sana.
Utotoni sikumbuki vizuri ila kwa sasa imeshamiri sana.
Inawezekana ukawa na mapembe.Nimeuliza watu kama nina kasoro but hakuna aliyesema ndiyo.Kingine hata watu tusiofahamiana wananishangaa.
Sina, nina tabia za kawaida kwa mwanaume kuwa nazo.Je, una unique feature yoyote kimaumbile ambayo inafanya watu wakuangalie sana!?
Sina, nina tabia za kawaida kwa mwanaume kuwa nazo.
Nitafanya hivyo kuuliza jawabu kwa wahusika.Nenda barabarani watakao kuangalia hapo hapo unawauliza halafu tulete majibu
Zote, wanaume wananiangalia mithili ya kunifananisha lakini wanawake wananiangalia kwa kujiiba iba.Ni jinsia ipi wanaokuangalia sana!?
Wewe umejuaje kama na wewe huwashangai? Inaonekana hata wewe unapenda kuwashangaa sana watuNimeuliza watu kama nina kasoro but hakuna aliyesema ndiyo.Kingine hata watu tusiofahamiana wananishangaa.
Hapana.Vipi hauna tabia au kuwa na ndugu washirikina au wachawi?
Nina papuche mbiliWewe ni KE,.....subiri siku yako ifike.
Hapana sionikani kiwizi wizi.Yawrza kuwa unaonekana kama mwizi.
swissme
0713 Siyo papuchi, ile ni sehemu inayojitegemea..........acha kusema unazo mbili kisa una matundu mawili.Nina papuche mbili