Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
- Thread starter
- #141
Arrrgh! nipo mwake.Wewe unatatizo la kisaikolijia linaitwa Delusion of Persecution na Delusion of Grandiosity.....hebu nenda kwa wataalamu ukatibiwe mkuu
Arrrgh! nipo mwake.Wewe unatatizo la kisaikolijia linaitwa Delusion of Persecution na Delusion of Grandiosity.....hebu nenda kwa wataalamu ukatibiwe mkuu
Ni sababu zipi zinazowafanya washangaane?Wabongo kawaida kushangaana
Bora ambavyo hatujuani cause ungeninga'ania hadi kifo.mbona me sikushangai
KwendraaaNitakulegeza ili nikukaze siku moja.
Asante boss kwa ushauri mzuri.Ila nikuhakikishe kuwa mimi nina tabia zote za kiume.Mkuu kwanza pole kwa hali hiyo maana inakunyima amani yaani i can feel situation hiyo, ila unapoleta humu kwetu tunakuwa gizani kukusaidia kwa sababu hizi:
1. Humu zinatumika id zenye kuficha taarifa kamiki za mtu so hata kama ni jirani hatokujua
2. Sisi sio watu tunaokaa nawe , hivyo inakuwa ngumu kujua kuwa huwa unavaa hivi ama huwa unatembea hivi pengine ingekuwa rahisi kuhisi ni wapi unakosea.
Cha kufanya:
1. Shirikisha watu wako wa karibu unaoishi nao mji mmoja au jirani zako.
2. Jaribu kujitafakari maisha yako, uvaaji wako, nna unavoongea, pengine kuna vitabia fulani venye kukufanya uonekane kinyume na jinsia yako (samahani sina maana mbaya). Hivyo jitafakari, simama mbele ya kioo kabla hujatoka.
3. Kuhusu hizi fashion za siku hizi nazo zaweza kuwa tatizo, labda unavaa mavazi yenye mitindo ya kisasa mpaka unatoka nje ya heshima yako, pengine umri wako umeenda hauendani na fashion za kisasa , mf kuvaa jeans zilizochanika kwa saana.
4. Ongea na moja ya watu ambao huwa wanakushangaa , haswa awe kijana mwenzako ambaye unaona ni mtu safi unayeweza kukaa naye ukamuuliza na akatoa ushirikiano wa kutosha ila usiwe mkali wala kutumia lugha ya vitisho na kwa chochote atakachosema kipokee hata kama ni kigumu.
Naona umeniwekea picha ili nichakarike upesi.Kwendraaa
Wewe ni KE au ME?Nipm picha yako nitakuambia mkuu
UsihofuNasubiri mrejesho
mkuu me naomba nisiseme chochote maana we ni ME afu wanakushangaa/kilkuangalia?? na wewe unawashangaa wanaokushangaa?? napata ukakasi kidogo
MI najua chuda....Wewe ni KE au ME?
Yesu unamtafuta nini unapolisiLabda umejazia kama Paul Makonda
kama una msambwanda mkubwa hata mi ntakushangaa kwa kweli...Wakuu wa baraza heshima kwenu,
Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.
Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?
Asanteni!
Wewe ni KE,.....subiri siku yako ifike.MI najua chuda....
Utakuwa hujiamini kiasi kwamba kila unapopita unahisi wanakushangaa wewe
Hapana siyo kweli.kama una msambwanda mkubwa hata mi ntakushangaa kwa kweli...
Hadi wewe wanakuchabo?Dah na mimi hua Nina tatzo kama hilo na hua cjui shida ni nn, had hua najistukia