Nimeuliza watu kama nina kasoro but hakuna aliyesema ndiyo.Kingine hata watu tusiofahamiana wananishangaa.
Work on ur Body language unapotembea, lower ur insecurities, punguza
kujihisi hisi.
Yawezekana mkuu.....mi nahisi utakuwa unatembea kama sharo milionea na maplaster usoni kama nelly ndio maana watu wanakushangaa
Mbona umegunaa? Au jiwe limekupata ?????? mh!
Mwendo mnaotembea itakuwa ndio tatizoHata mimi nilishakutana natatizo
Hilo