Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

Japokuwa mada isha fika mbali kuchangiwa, ngoja na mimi nitoe mchango wangu katika mtazamo tofauti kidogo, kama utafanya utafiti kidogo kwa watu wanao kushangaa, mfano wako watu watatu wakakushangaa, ukiwauliza hakuna hata mmoja atakuwa na sababu direct au wanaweza wakawa na sababu tofauti tofauti, katika mada moja humu nilichangia kuhusu Body energy, sasa inawezeka kukawa na leakage from your body energy amabayo inakuwa visible, jua kuwa katika kundi la watu wakushangaao sio wote wanaokushangaa wewe, wengi wanashangaa kwamaana wenzao wanashangaa wengi hawajui wanashangaa nini ila wachahe wajuao hawawezi elezea kwa maana hawana uelewa wa elimu hii.
Wakati mwingine inaweza kuwa una very bright au powerful energy amabayo inakuwa visible.
cc MziziMkavu , mshana jr , MSEZA MKULU merengo90 Divine...
Nitaendelea wakati mwingine.
Nakupongeza sana tena sana mno.Umeelezea vizuri kuliko ambavyo ningeweza.Wengne wananishangaa kwa kuwa wameona wengine wakifanya hivyo.
Nashukuru sana, your post noted with honor.
 
Kama wewe ni jinsia ya kike basi jambo hilo ni kawaida.

Lakini Kama ni ME basi huenda una muonekano ufuatao;

1. Unatembea Kama demu labda kutingisha matako au kiuno au kutanguliza kifua mbele huku makalio ukiyaacha nyuma.

2. Unaswaga za kike Kama kuvaa mavazi yasio yakiume, kuvaa mavazi yanayong'aa.

3. Huenda unajichubua au unavaa hereni.

4. Labda unaumbo Fulani au kiungo Fulani ambacho wanaume au watu wengi hawana.
Kwa mfano unamakalio makubwa, au unasura nzuri kupitiliza Kama demu. Unamacho ya kurembua n.k.

Kama huna niliyoyataja basi jiamini.
Lakini hayo niliyoyataja hata uje kukanusha ni lazima moja au mawili uwe unayo.
 
Ukitaka kupata jibu weka picha yako hapa ili watu wakuone ili waweze kukueleza sababu. Mbali na hapo watu watajibu kwa hisia tu.
 
Wakuu wa baraza heshima kwenu,

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.

Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?

Asanteni!
Huna dalili za kuota mapembe?
 
Kama wewe ni jinsia ya kike basi jambo hilo ni kawaida.

Lakini Kama ni ME basi huenda una muonekano ufuatao;

1. Unatembea Kama demu labda kutingisha matako au kiuno au kutanguliza kifua mbele huku makalio ukiyaacha nyuma.

2. Unaswaga za kike Kama kuvaa mavazi yasio yakiume, kuvaa mavazi yanayong'aa.

3. Huenda unajichubua au unavaa hereni.

4. Labda unaumbo Fulani au kiungo Fulani ambacho wanaume au watu wengi hawana.
Kwa mfano unamakalio makubwa, au unasura nzuri kupitiliza Kama demu. Unamacho ya kurembua n.k.

Kama huna niliyoyataja basi jiamini.
Lakini hayo niliyoyataja hata uje kukanusha ni lazima moja au mawili uwe unayo.
Hata kimoja kati ya ulivyovitaja sina.
 
Wakuu wa baraza heshima kwenu,

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.

Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?

Asanteni!
Hivii akilii yakooo, IPO sawa sawaa kweliii
 
Back
Top Bottom