Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

Wakuu wa baraza heshima kwenu,

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.

Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?

Asanteni!
Hujiamini tu basi!! Hakuna mtu mwenye tym na wewe ila we unahisi tu kwamba watu wanashughulika na wewe. Jiamini!! Hakuna mwenye habari na wewe.
 
Lazma una kasoro nzur au mbaya,ambayo ni chanzo cha attraction labda:,
1.handsome had umeptlza ukawa beautiful!
2.unamwendo wa madaha km twiga kwa mwanaume hil ni la kushangaza!
3.una rang adimu ambayo ukitokea lazma watu wahamaki
4.una matege km banio la ugal yanoonekana hata ukiwa umbal mkubwa
5.au unatembea miguu yote kushoto unakua km saa yeyote utaanguka watu wa mwendo huu hushangaza weng!au ukitembea unakishndo km faru john hehehe
mkuu ni vigum sana kukubal kasoro yako na vgum pia kuambiwa hasa km hairekebiki!
Sipo hivyo, normal sana.
 
We ni shoga? Labda wanakushangaa mwendo wako wa maringo na huku ni kidume.
 
Wakuu wa baraza heshima kwenu,

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.

Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?

Asanteni!
Wewe unatatizo la kisaikolijia linaitwa Delusion of Persecution na Delusion of Grandiosity.....hebu nenda kwa wataalamu ukatibiwe mkuu
 
Wakuu wa baraza heshima kwenu,

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.

Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?

Asanteni!

Tatizo kubwa ni huo msambwanda ulionao nadhani!
 
Mkuu kwanza pole kwa hali hiyo maana inakunyima amani yaani i can feel situation hiyo, ila unapoleta humu kwetu tunakuwa gizani kukusaidia kwa sababu hizi:
1. Humu zinatumika id zenye kuficha taarifa kamiki za mtu so hata kama ni jirani hatokujua
2. Sisi sio watu tunaokaa nawe , hivyo inakuwa ngumu kujua kuwa huwa unavaa hivi ama huwa unatembea hivi pengine ingekuwa rahisi kuhisi ni wapi unakosea.
Cha kufanya:
1. Shirikisha watu wako wa karibu unaoishi nao mji mmoja au jirani zako.
2. Jaribu kujitafakari maisha yako, uvaaji wako, nna unavoongea, pengine kuna vitabia fulani venye kukufanya uonekane kinyume na jinsia yako (samahani sina maana mbaya). Hivyo jitafakari, simama mbele ya kioo kabla hujatoka.
3. Kuhusu hizi fashion za siku hizi nazo zaweza kuwa tatizo, labda unavaa mavazi yenye mitindo ya kisasa mpaka unatoka nje ya heshima yako, pengine umri wako umeenda hauendani na fashion za kisasa , mf kuvaa jeans zilizochanika kwa saana.
4. Ongea na moja ya watu ambao huwa wanakushangaa , haswa awe kijana mwenzako ambaye unaona ni mtu safi unayeweza kukaa naye ukamuuliza na akatoa ushirikiano wa kutosha ila usiwe mkali wala kutumia lugha ya vitisho na kwa chochote atakachosema kipokee hata kama ni kigumu.
 
RAIA mukuwe siriaz kidogo,huyu MTU ya tatu kumsikia na hanga makomplein,kuna mwangine alikuwanga na job ake, sasa ile anavokuwa kwa job RAIA ndo humwangaliaga mob, had ajiuliza yuaangaliwa kwani?
 
Back
Top Bottom