Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

Wakuu wa baraza heshima kwenu,

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.

Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?

Asanteni!
Una msambwanda?
 
Labda wewe ndio wale wavaa milegezo mpaka makalio uonekana au nguo ya ndani.
 
Je unavuta bangi??? Ila huwa inatokea coz hata mimi kuna siku nnaweza kusalimiwa na watu wengi ambao siwajui wa rika tufaut hadi nachoka kuitikia yaani too much
 
Kumbe hata kwako yanakutokea?
 
Ehee hivi ndo hyu aliandika thread amepata fursa ya kwenda nje kucheza porno Kama ndie yeye alafu yupo hko nje hao wanaomuangalia watakua washamuona kwenye action na kama yupo mjin watu watakua wanashangaa kumuona Bado yupo
hahaha..
Umeonaeeh...

Halafu mwenyewe anashangaa kushangaliwa huko mtaani.
 
Ndugu Chuda Kashara, kama wewe ni MTU unaefanana na huyo wa Avatar yako hapo juu....acha tu watu wakushangae, si kosa lao.
 
Lazma una kasoro nzur au mbaya,ambayo ni chanzo cha attraction labda:,
1.handsome had umeptlza ukawa beautiful!
2.unamwendo wa madaha km twiga kwa mwanaume hil ni la kushangaza!
3.una rang adimu ambayo ukitokea lazma watu wahamaki
4.una matege km banio la ugal yanoonekana hata ukiwa umbal mkubwa
5.au unatembea miguu yote kushoto unakua km saa yeyote utaanguka watu wa mwendo huu hushangaza weng!au ukitembea unakishndo km faru john hehehe
mkuu ni vigum sana kukubal kasoro yako na vgum pia kuambiwa hasa km hairekebiki!
 
Back
Top Bottom