Kama mkristu biblia inakuhusu na maji ya baraka wekea chumvi afu nyunyizia kitandani, majibu utapata
Hii iko kwenye imani gani?
Kama mkristu biblia inakuhusu na maji ya baraka wekea chumvi afu nyunyizia kitandani, majibu utapata
hapo dawa ni kulala bila kuchomeka net ukiamka utakuta imejichomeka....
Hakuna cha kusali choma chumvi ukitaka kulala, dawa tosha
Hata me napenda kujua hilo.... Na hii ni mara ya pili kusikia kuhusu chumvi..
Chumvi unapoichoma ktk moto hu-deactivate nguvu za giza, jamaa hushindwa kuingia, kuna rimao, wembe, pini na sindano ila hivi mpaka uvitengenezee mazingira ya ku-deactivate, Mimi sijawahi sumbuliwa ila majirani kilasiku vilio
Naomba nikuPM mkuu
Hii iko kwenye imani gani?
Karibu bila hofu
kwa wale wasoma biblia chumvi ilitumika kuchanganywa kwenye maji na watu walipewa kwa ajili ya tiba (2Wafalme 2:19)
humu kumejaa walozi watupu eti choma chumvi sasa chumvi inashinda Mungu muumba?
Chumvi ni imani ya kishirikina, usitatue tatizo kwa kuongeza tatizo