Kila nikistuka usingizini nakuta neti (Chandarua) imechomolewa

Kila nikistuka usingizini nakuta neti (Chandarua) imechomolewa

Acha kulala huku unaota unacheza karate sijui kung fu au shotokan, haitaisha hiyo hali
 
Baba Omega muulize mama omega labda anachomoaga akienda chooni
 
Last edited by a moderator:
Really? Mi pia huwa ninakuwa na ndoto za ajabu sana.... Kuna moja nimeota juzi inanipa hofu sana... mshana jr upo

Chumvi unapoichoma ktk moto hu-deactivate nguvu za giza, jamaa hushindwa kuingia, kuna rimao, wembe, pini na sindano ila hivi mpaka uvitengenezee mazingira ya ku-deactivate, Mimi sijawahi sumbuliwa ila majirani kilasiku vilio
 
Last edited by a moderator:
Chumvi unapoichoma ktk moto hu-deactivate nguvu za giza, jamaa hushindwa kuingia, kuna rimao, wembe, pini na sindano ila hivi mpaka uvitengenezee mazingira ya ku-deactivate, Mimi sijawahi sumbuliwa ila majirani kilasiku vilio

Woow, naanza kuchoma chumvi Leo hii... Naomba unieleweshe hizo za malimao, pini, wembe, sindano... I really need to know maana....
 
Back
Top Bottom