Kila nikistuka usingizini nakuta neti (Chandarua) imechomolewa

Kila nikistuka usingizini nakuta neti (Chandarua) imechomolewa

niliwahi kusikia miaka mingi sana kuhusu chumvi kwenye mipira. kuwa mchezaji akiweka chumvi kwenye soksi ya kiatu chake huwa hapatikani na nguvu za giza uwanjani na huwa anakuwa nyota kwenye mchezo. its true story.
 
Ukilala ingia kwenye neti na BIBLIA, ni zaidi ya dawa zote maana wanga wanasemaga inawaunguza wakiikaribia. sasa wewe nenda hatua moja zaidi. soma Biblia vifungu kadhaa halafu iseme Imani, then lala.

Tafadhali kesho lete majibu baada ya kufanya hivi
 
Chumvi unapoichoma ktk moto hu-deactivate nguvu za giza, jamaa hushindwa kuingia, kuna rimao, wembe, pini na sindano ila hivi mpaka uvitengenezee mazingira ya ku-deactivate, Mimi sijawahi sumbuliwa ila majirani kilasiku vilio

Chumvi ile ya vipande au hii ya unga?
 
Ukilala ingia kwenye neti na BIBLIA, ni zaidi ya dawa zote maana wanga wanasemaga inawaunguza wakiikaribia. sasa wewe nenda hatua moja zaidi. soma Biblia vifungu kadhaa halafu iseme Imani, then lala.

Tafadhali kesho lete majibu baada ya kufanya hivi

katika kitanda hichohicho anachongonokea?... mawazo tuuu
 
Tega camera then lala asubuhi vinjari hiyo video utajua nani huchomoa net sawasawa!!
 
hahaha kwahiyo na wewe ni muumini wa ushirikina?

Ushirikina upon hata bible umeshautaja shukru tu wachawi hawajawahi kukutembelea. Siku hiyo utakuta wameondoka na mavu......si hapo ndipo utaitafuta hii posti na hautaiona.
 
Habari wana JF,

Kila ninapolala usiku huwa nachomekea neti vizuri lakini huwa napata ndoto mbaya na ninapostuka huwa nakuta neti imechomolewa.

Na hii imenitokea mara nyingi sana, nimefanya uchunguzi kuona kama huwa nachomoa mimi lakini nikagundua sio mimi.

Mama omega umemuuliza? Anyway, hapo tia kitu cha CCTV CAMERA,
 
Back
Top Bottom