Sdebaseboy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 792
- 257
Badili tabia kama ulikuwa unalala bila kusali basi badilika sasa kila utakapokulala sali kwanza umwombe Mungu ili akupe ulinzi tosha.
Haaaaaa lol
Tumia kiswahili boc usijifanye muchknow, ujumbe wako hautafika vizuri kwa walengwa.
Funga CCTV chumbani
Tumia kiswahili boc usijifanye muchknow, ujumbe wako hautafika vizuri kwa walengwa.
Eti MarianaTrench anajifanya kujua kidhungu kumbe ni kuku wa kienyeji wa Mbagala!!
Tegesha mfupa wa kitimoto!
hapo dawa ni kulala bila kuchomeka net ukiamka utakuta imejichomeka....
Muombe MUNGU kabla ya kulala kwani wanga wapo kila sehemu,kama wewe ni mwanamke utajikuta una mimba!
Weka kamera ya CCTV. Na asubuhi utamwona tu mbaya wako!Habari wana JF,
Kila ninapolala usiku huwa nachomekea neti vizuri lakini huwa napata ndoto mbaya na ninapostuka huwa nakuta neti imechomolewa.
Na hii imenitokea mara nyingi sana, nimefanya uchunguzi kuona kama huwa nachomoa mimi lakini nikagundua sio mimi.
Hata me napenda kujua hilo.... Na hii ni mara ya pili kusikia kuhusu chumvi..
Woow, naanza kuchoma chumvi Leo hii... Naomba unieleweshe hizo za malimao, pini, wembe, sindano... I really need to know maana....
Chumvi unapoichoma ktk moto hu-deactivate nguvu za giza, jamaa hushindwa kuingia, kuna rimao, wembe, pini na sindano ila hivi mpaka uvitengenezee mazingira ya ku-deactivate, Mimi sijawahi sumbuliwa ila majirani kilasiku vilio