Kila nikistuka usingizini nakuta neti (Chandarua) imechomolewa

Kila nikistuka usingizini nakuta neti (Chandarua) imechomolewa

mashetani hawaogopi chumvi wanamuogopa YESU tu basi
 
Habari wana JF,

Kila ninapolala usiku huwa nachomekea neti vizuri lakini huwa napata ndoto mbaya na ninapostuka huwa nakuta neti imechomolewa.

Na hii imenitokea mara nyingi sana, nimefanya uchunguzi kuona kama huwa nachomoa mimi lakini nikagundua sio mimi.

Uwe unategesha camera kisha unalala
 
Nmepitia ushauri wenu mlionipa;nmechukua ambao naona unafaa na mwingine mmenichekesha sana japo mlionichekesha nahisi mnadhani natania;Aliyeuliza uchunguzi niliufanyaje ni kwamba SIKULALA na neti haikuchomolewa;nikilala tu nikishtuka nakuta tayari;pia mm huwa silali vibaya kwamba narusharusha miguu hapana!na visigino vyangu viko poa tu havijachanika;Thanks;c u baadae wana JF
 
Ameelewa. Ila kwa lugha nyingine namaanisha aombe kama ni mkristo kwa jina la Yesu na atakuwa salama. Kwa sharti moja tu la kuamini kiukweli kabisa toka moyoni. Asipo amini akionesha kusita sita hatafanikiwa. Biblia inasema mwenye haki wangu akisita sifurahishwi nae....
Bila shaka nimekufurahisha mkuu.

Now i have got ur msg
 
Duh Pepo shindwa ...au huwa unachomoa mwenyewe ndotoni..kuna kitanda cha akiba hapo ili nije kukesha na wewe nione nini kinafanyika ukiwa umelala..nina upako wa ajabu ladyfurahia nimekuja ..Topic imeniacha hoi
 
Last edited by a moderator:
Chumvi unapoichoma ktk moto hu-deactivate nguvu za giza, jamaa hushindwa kuingia, kuna rimao, wembe, pini na sindano ila hivi mpaka uvitengenezee mazingira ya ku-deactivate, Mimi sijawahi sumbuliwa ila majirani kilasiku vilio


Mkuu hujatupa mrejesho wa hii habari, unavimix vip maana uswazi noma sana,
 
Hahaha Duuh sikutegemea kucheka usiku wote huu... jf is never boring. Pole mtoa mada, hope ushakusanya ushauri wa kutosha
 
Vipi mazingira ya chupi yanakuwaje maana ucje ukawa unaona aibu kusema. Akina mzizi mkavu wapo
 
Habari wana JF,

Kila ninapolala usiku huwa nachomekea neti vizuri lakini huwa napata ndoto mbaya na ninapostuka huwa nakuta neti imechomolewa.

Na hii imenitokea mara nyingi sana, nimefanya uchunguzi kuona kama huwa nachomoa mimi lakini nikagundua sio mimi.

Cc: Profesa mshana jr
Bingwa wa mambo ya giza 😎
 
Khaa!! Muone mtaalam
Cc: mshana jr

Cc: Profesa mshana jr
Bingwa wa mambo ya giza 😎

Hahaha 1451007636788.jpg Rohombaya pokea zawadi ya Christmas
 
Last edited by a moderator:
CHUMVI SI UCHAWI KARNE KWA KARNE IMETUMIKA KUOPOSE NEGATIVITY FORCES.
HATA MAJI YA BARAKA KATIKA KUYA ANOINT NI LAZIMA CHUMVI ITUMIKE.
NAKUPA MSAADA WA HARAKA SANA.
WEKA CHUMVI KILA KONA YA CHUMBA ULALACHO BUT SEA SALT IS MUCH BETTER.
ii
 
Back
Top Bottom