kwa wale wasoma biblia chumvi ilitumika kuchanganywa kwenye maji na watu walipewa kwa ajili ya tiba (2Wafalme 2:19)
Asante sana nakumbuka kuna kipindi nilisikia mchungaji akisema hiyo kitu.
Vichunguze visigino vyako vya miguu siyo ajabu vimechanika, hapa lazma net ichomoke
Kwani kakuambia analala amevaa??!!
Hapo uliposema umefanya uchunguzi kujua kama unachomoa mwenyewe ukagundua sio...ndio umeniacha njia panda...huo uchunguzi uliufanyaje? Inamaana huku lala siku hiyo?!!
kwa wale RC tunatumia sana chumvi wengine hatukosi chumvi na maji ya baraka kunyunyuzia nyumba nzima mara kwa mara hata wakati mwingine tunatumia chumvi ilibarikiwa kuweka kwenye maji ya kunywa tunatumia nyumba nzima....inafanya kazi kwa IMANI
Vichunguze visigino vyako vya miguu siyo ajabu vimechanika, hapa lazma net ichomoke
Uchunguzi gani uliofanya ?Habari wana JF,
Kila ninapolala usiku huwa nachomekea neti vizuri lakini huwa napata ndoto mbaya na ninapostuka huwa nakuta neti imechomolewa.
Na hii imenitokea mara nyingi sana, nimefanya uchunguzi kuona kama huwa nachomoa mimi lakini nikagundua sio mimi.
Aisee kuna mambo mengi na mepesi kufanya sema wengi tunayapuuzia.,.. Ngoja nianze application ya hii.. The Boss niletee cartons za chumvi aisee naanza mapambano
Mara ya mwisho umepima lini malaria?Habari wana JF,
Kila ninapolala usiku huwa nachomekea neti vizuri lakini huwa napata ndoto mbaya na ninapostuka huwa nakuta neti imechomolewa.
Na hii imenitokea mara nyingi sana, nimefanya uchunguzi kuona kama huwa nachomoa mimi lakini nikagundua sio mimi.
Hapo uliposema umefanya uchunguzi kujua kama unachomoa mwenyewe ukagundua sio...ndio umeniacha njia panda...huo uchunguzi uliufanyaje? Inamaana huku lala siku hiyo?!!
Hapo uliposema umefanya uchunguzi kujua kama unachomoa mwenyewe ukagundua sio...ndio umeniacha njia panda...huo uchunguzi uliufanyaje? Inamaana huku lala siku hiyo?!!
Do not stress and trouble your self to burn what ever you say ...salt or what....
The power is in the word of your mouth. You just call Jesus, ask his blood to cover you and be your shield every where at your home in your office and wherever you want it to work. Trust me it will work. Your enemies will be God's enemies and they will see "chamoto". You only need to believe it and nothing else. BELIEVE it...if you show elements of fear it will not work. And remember to ask God for his forgiveness as well as Grace over you and your family.
Good day dear.
Umenifanya nicheke sana asubuhi hii....
Hili pia linawezekana, lakini ajichunguze pia ulalaji wake....