Chumvi unapoichoma ktk moto hu-deactivate nguvu za giza, jamaa hushindwa kuingia, kuna rimao, wembe, pini na sindano ila hivi mpaka uvitengenezee mazingira ya ku-deactivate, Mimi sijawahi sumbuliwa ila majirani kilasiku vilio
Ukilala ingia kwenye neti na BIBLIA, ni zaidi ya dawa zote maana wanga wanasemaga inawaunguza wakiikaribia. sasa wewe nenda hatua moja zaidi. soma Biblia vifungu kadhaa halafu iseme Imani, then lala.
Tafadhali kesho lete majibu baada ya kufanya hivi
Habari wana JF,
Kila ninapolala usiku huwa nachomekea neti vizuri lakini huwa napata ndoto mbaya na ninapostuka huwa nakuta neti imechomolewa.
Na hii imenitokea mara nyingi sana, nimefanya uchunguzi kuona kama huwa nachomoa mimi lakini nikagundua sio mimi.
utakuta siku umevuliwa hata chupi
Vichunguze visigino vyako vya miguu siyo ajabu vimechanika, hapa lazma net ichomoke
Dawa usichomeke,ukiamka utaikuta imechomekwa!!
Hapo uliposema umefanya uchunguzi kujua kama unachomoa mwenyewe ukagundua sio...ndio umeniacha njia panda...huo uchunguzi uliufanyaje? Inamaana huku lala siku hiyo?!!
Tegesha mfupa wa kitimoto!
Vipi hawajaanza kuchomoa na serewili?
Khaa!! Muone mtaalamHabari wana JF,
Kila ninapolala usiku huwa nachomekea neti vizuri lakini huwa napata nrdoto mbaya na ninapostuka huwa nakuta neti imechomolewa.
Na hii imenitokea mara nyingi sana, nimefanya uchunguzi kuona kama huwa nachomoa mimi lakini nikagundua sio mimi.