Kila aguswaye na pendo

Kila aguswaye na pendo

atamsifia nani mwingine kama sio mkewe jamani mwacheni ajitambe kwangu ameshafika acheni wivu utapata tu wa kukusifia hata mm nitakusifia ikifika 17 June ondoa shaka
Mbwembwe meeeeeeeeeeeeen na ikifika bathday yangu nikikosa wakunirusha roho nafwa kabisa ajitolee mtu humu tr 17 june .HB LF
 
Hii signature yako imenibariki na kunigusa hebu wewe uone "Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako.tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha."
Mbwembwe meeeeeeeeeeeeen na ikifika bathday yangu nikikosa wakunirusha roho nafwa kabisa ajitolee mtu humu tr 17 june .HB LF
 
Itabidi tuwaombe wanaume wa humu mjengoni nawe wakutoe ikifika zamu yako mie mume wangu amelitambua hilo acha nikuitie hawa wanaume wa humu mjengoni wakutoe mwaya si unataka kutolewa siku ya 17 June jamani wanaumeeeeeeeeee kujeni huku Nivea anataka kutolewa siku yake jamani watu8, Filipo, Chimbuvu, Erickb52, Ruttashobolwa, stevoh, mamamia, Mr. Rocky, KakaKiiza, Kipaji Halisi, mpenda Yesu, Mtambuzi, The hammer, @Jouswe, Mwita Maranya

Last edited by a moderator:
Kumbe ulimkutana na shem ladyfurahia kule sitimbi!!!!

Hebu nikuulize maswali la kizushi

1.Je muonekano wa Lady kwa sasa na wazamani ukoje? Je kwasasa anaonekana amerizaka na mapendo ya kapera Mentor au tu ni yale mambo ya bora liende?
2.Unaikumbukaje siku ya kwanza kukutana na Lady?

3. Hivi ni Happy Bith Day au Happy Bith Date?

1. Amekuwa mzuri zaidi ya nilipomuona. Hasa uzuri wa ndani...kama hujaoa huwezi kuelewa jibu hili. Uliza mainfii kina shem Kaizer na babu Asprin.

2. Nilikuwa naenda kuosha gari baada ya kumshusha bosi mara ghafla mbele yangu akapita binti mrembo kuliko wote niliowahi kuwatia machoni. Amebeba maparachichi na magimbi. Sijui ujasiri ule ulitokea wapi...but siku ile ile nilhakikisha nimeeleweka...

3. Happy birthday...we dont celebrate the date, rather commemorate the day.
 
Last edited by a moderator:
Yatakushinda wewe unafikiri mwenzio anapenda mwanzo tu hadi mwisho wake anaona ladha
Kumbe ulimkutana na shem ladyfurahia kule sitimbi!!!!

Hebu nikuulize maswali la kizushi

1.Je muonekano wa Lady kwa sasa na wazamani ukoje? Je kwasasa anaonekana amerizaka na mapendo ya kapera Mentor au tu ni yale mambo ya bora liende?
2.Unaikumbukaje siku ya kwanza kukutana na Lady?

Hivi ni Happy Bith Day au Happy Bith Date?
 
hebu mpe vipande vyake maana naona anakufuatiliakwa nyuma
1. Amekuwa mzuri zaidi ya nilipomuona. Hasa uzuri wa ndani...kama hujaoa huwezi kuelewa jibu hili. Uliza mainfii kina shem Kaizer na babu Asprin.

2. Nilikuwa naenda kuosha gari baada ya kumshusha bosi mara ghafla mbele yangu akapita binti mrembo kuliko wote niliowahi kuwatia machoni. Amebeba maparachichi na magimbi. Sijui ujasiri ule ulitokea wapi...but siku ile ile nilhakikisha nimeeleweka...

3. Happy birthday...we dont celebrate the date, rather commemorate the day.
 
nakuachia kazi ya kuchagua hapa katika hizi candle zilizopo chini yako new.jpg

ingine hii hapa new mpya.jpg

mpaka hapo sasa utaelewa nazima mishumaa mingapi angali ana hapa new3.jpg
Anazima mishumaa mingapi?
 
kwani uilichelewa wapi wakati wenzio wameshajipanga kumtoa nje pole bestito karibu home leo tunapika makande ilioyowekwa keki juu yake njoo mapishi ya kikaskazini
naomba niwe mimi. Nimejtolea bure kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Itabidi tuwaombe wanaume wa humu mjengoni nawe wakutoe ikifika zamu yako mie mume wangu amelitambua hilo acha nikuitie hawa wanaume wa humu mjengoni wakutoe mwaya si unataka kutolewa siku ya 17 June jamani wanaumeeeeeeeeee kujeni huku Nivea anataka kutolewa siku yake jamani watu8, Filipo, Chimbuvu, Erickb52, Ruttashobolwa, stevoh, mamamia, Mr. Rocky, KakaKiiza, Kipaji Halisi, mpenda Yesu, Mtambuzi, The hammer, @Jouswe, Mwita Maranya
ladyfurahia, kwanza nikupe hongera kwa kuendelea kula chumvi nyingi hapa duniani, na kukutakia kila lililo jema maishani mwako na kipenzi cha moyo wako jirani yangu Mentor(jirani wapi keki leo; kijiji beach au mikadi beach?).

Pili, ningependa kukufahamisha kuwa i'm married to my sweet wife mwaJ, kwahiyo ningependa uniondoe katika hilo group la wanaume wa JF wanaoweza kumtoa best yangu Nivea.

Tatu, nakutakia kila la kheri wakati wote unapoendelea kumpa kampani Nivea hadi ampate amfaaye kwa dhiki na raha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom