Kila aguswaye na pendo

Kila aguswaye na pendo

images

Wahenga walisema, kila aguswaye na pendo huwa mshairi,
na leo nipo hima, kulitoa la moyoni kamwe lisiwe siri,
kwa shauku ninahema, ka nilietoka kubikiri,
heri siku kuzaliwa, mwandani wa wangu moyo!!!

HAPPY BIRTHDAY ladyfurahia....u r just like fine wine, matures with age!!! Nilipokuona leo asubuhi, u mzuri kama siku niliyo lay my eyes on you kwa mara ya kwanza kule kijijini kwenu nilipokuja kikazi na bosi wangu! Nikakupenda na sikuchelewesha kukujulisha nia na haja ya moyo wangu kwako..nikakuoa na kukuweka ndani na hata sasa...hata sasa bado ninakupenda na u mzuri mwenye sura ya binti mchanga!!!

Nakutakia heri na fanaka katika siku yako hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako...Upate furaha tele na May God grant you all your heart's desires..this day and throughout the year!!!

HAPPY BIRTHDAY MPENDWA WA MOYO WANGU.
images

ladyfurahia hivi tuko wangapi jamani??? Mimi sikubali
 
Last edited by a moderator:
hoo! nilisahau nilitaka kusema hivyohivyo signature lakini mkono ulitereza katika kutype, ila naomba tushare hiyo kama hutojali
Hiyo ni signature na sio avatar, hata mimi naipenda hiyo signature yangu ndio maana niliichagua na kuiweka hapo, nafurahi kusikia toka kwako ya kwamba unaipenda pia. Kama unaipenda sana nawe waweza kuitumia pia, na mimi naweza kutafuta nyingine kama hautataka tuitumie wote. ama unaweza kunipa assignment ya kukutafutia/kukuchagulia signature lakini yenye mlengo wa kujenga kiimani na familia ya Mungu.

Kama sijakuelewa ulichomanisha, unaweza kufafanua zaidi hapa ama pm.

Uwe na siku njema mpendwa ladyfurahia.
 
huyu ni my husband halisi tena pyua, ila amekuwa ni kiruka njia na ananiuzi kwa tabia yake hii kwani kila amuonaye machoni pake hataki hampite hivihivi hiyo yote ni kutokana na ulimbukeni wake wa kimapenzi lakini mm ajue kuwa alinitoa kwetu na wala hataniacha kamwe, hivyo tambua kuwa hatuko wengi ni mm mwenyewe tu na hata wewe anakudanganya kwani mm ndiye mkewe wa ndoa kabisa hao wengine anajitafutia maradhi huyu na kutaka kuniangamiza bure acha nimpeleke wkwa wazee wamfundishe adabu
ladyfurahia hivi tuko wangapi jamani??? Mimi sikubali
 
hoo! nilisahau nilitaka kusema hivyohivyo signature lakini mkono ulitereza katika kutype, ila naomba tushare hiyo kama hutojali

Yaani hilo tu kushare signature ndio hadi uombe ruhusa, hapana feel free to use it as many as you can, chanzo cha hayo maneno sio mimi, bali ni kitabu kitakatifu cha Mungu, so tuyatumie vizuri kama yalivyo mapenzi yake.

Kuna vya kuomba kushare na kusubiri hadi ruhusa itolewe lakini sio maneno kama hayo, have a nice day.
 
Nivea

Today 14:46
#54

BannedArray

Join Date : 21st May 2012
Posts : 5,680
Rep Power : 0
Likes Received3132
Likes Given4053

icon1.png
Re: Kila aguswaye na pendo..

Nivea ar yuuu banned?!?!?
MAMA NIMETOKA SELLO HAHHAHAHAH
CHEZEA MANENO MICHAFU HII
JamiiForums Message

You have been banned for the following reason:
wewe ni wale wanaume tunao waita dume la mbwa .no argument kakojoe ulale njaa inakusumbua na akili ndogo kama ya bundi.na umaskini umekuja mjini ukitegemea domo likutunze ndio hasara zake hizi
Date the ban will be lifted: 24th May 2013, 15:00
 
nikikumbuka inanitia majonzi na na kunisababishia niwe na tone la machozi
lugha nyororo mithili ya baragumu njema itokayo angani
kweli acha niimbe wimbo wa ben pol
mtima wangu ni wewe x2
images

Wahenga walisema, kila aguswaye na pendo huwa mshairi,
na leo nipo hima, kulitoa la moyoni kamwe lisiwe siri,
kwa shauku ninahema, ka nilietoka kubikiri,
heri siku kuzaliwa, mwandani wa wangu moyo!!!

HAPPY BIRTHDAY ladyfurahia....u r just like fine wine, matures with age!!! Nilipokuona leo asubuhi, u mzuri kama siku niliyo lay my eyes on you kwa mara ya kwanza kule kijijini kwenu nilipokuja kikazi na bosi wangu! Nikakupenda na sikuchelewesha kukujulisha nia na haja ya moyo wangu kwako..nikakuoa na kukuweka ndani na hata sasa...hata sasa bado ninakupenda na u mzuri mwenye sura ya binti mchanga!!!

Nakutakia heri na fanaka katika siku yako hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako...Upate furaha tele na May God grant you all your heart's desires..this day and throughout the year!!!

HAPPY BIRTHDAY MPENDWA WA MOYO WANGU.
images
 
ilikuwa mwaka jana bestito subiria ya birthday ya mwaka huu
kama ikimpendeza Mungu kuuona tena nna kufurahia bday mpya
na ya safari hii lazima TEAM Bazazi wawepo wakiniimbia wimbo
maana my :embarassed2: yuko kwenye group hilo wamemuweka bila hata huruma
Oooh how sweet...! Happy birthday ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday to ladyfurahia... nakutakia furaha leo na siku zote
 
Utakuta japo unampenda ila MCHEPUKO hukosi.....hapo ndio pakuuliza je unamlinda?

Back
Top Bottom