Kila aguswaye na pendo

Kila aguswaye na pendo

Asante nashukuru sana ubarikiwe nawe kwa kunitakia afya nyema na baraka tele nawe mungu akuzidishie mibaraka lukuki ukose nafasi ya kuziweka asante sana
happy belated birthday dada ladyfurahia....
Mungu akuongezee maisha yenye afya tele na baraka zisiishe katika nyumba yako..uzidi kumpenda mume wako mentor
 
muendeleo unakaribishwa kigamboni upate keki ya makande kama umewahi kuisikia wala kuionja hiyo keki

hiyo mbado..... hii ipo?

avatar11959_12.gif
 
Mbwembwe meeeeeeeeeeeeen na ikifika bathday yangu nikikosa wakunirusha roho nafwa kabisa ajitolee mtu humu tr 17 june .HB LF

Thanks leo nimejifunza kitu hapa......Hivi kumbe wanaume tupo tofauti sana na kina dada, maana kwa sisi wanaume haya

mambo huwa tunayachukulia juujuu tu. Yani hii siku unaweza ukajikuta umeisahau, unakuja kukumbuka tarehe imeshapita.

Kumbe mnaithamini hivyo!!!!.....Ok I think I will be the first to wish you happy birthday on that day, by the way I would like to submit my special wishes of honor to our shemu here, Happy birthaday ladyfurahia, wishing you living longer with more success in your life.
 
Last edited by a moderator:
thanks bestito ikifika yako nambie nimwambie Nivea akupost
Thanks leo nimejifunza kitu hapa......Hivi kumbe wanaume tupo tofauti sana na kina dada, maana kwa sisi wanaume haya

mambo huwa tunayachukulia juujuu tu. Yani hii siku unaweza ukajikuta umeisahau, unakuja kukumbuka tarehe imeshapita.

Kumbe mnaithamini hivyo!!!!.....Ok I think I will be the first to wish you happy birthday on that day, by the way I would like to submit my special wishes of honor to our shemu here, Happy birthaday ladyfurahia, wishing you living longer with more success in your life.
 
Last edited by a moderator:
wala hujakosea chochote waweza ongeza ikingine ambacho wakifahamu bestito

[MENTION]ladfurahia[/MENTION] siwezi kusema zaidi ya hapo best, najua yapo mengi mazuri kama sio matamu,lakini nadhani wahusika wakuu wana nafasi nzuri ya kuyasema na kupokelewa vema, kwangu mimi na wengine wa aina yangu lazima tuwe na mipaka, hivyo nadhani hapo nilipofikia ni mwisho.

Maadamu nimeona katika andiko lako mmojawapo ukisema ninyi watu wa pwani tukio kama hili mnalifanya kwa mwezi mzima, kwa mkutadha huo basi niendelee kukutakia kila lililo jema kwa mwezi huo mzima na Mungu daima awe mbele yenu katika kufanikisha hiyo kumbukumbu mhimu katika maisha yako hapa duniani.
 
asante sana nashukuru best ila nimeipenda hii signature yako imenigusa nafikiri my husband Mentor ataipenda pia kwani tabia zetu kwa mbali zinafanana
ladfurahia siwezi kusema zaidi ya hapo best, najua yapo mengi mazuri kama sio matamu,lakini nadhani wahusika wakuu wana nafasi nzuri ya kuyasema na kupokelewa vema, kwangu mimi na wengine wa aina yangu lazima tuwe na mipaka, hivyo nadhani hapo nilipofikia ni mwisho.

Maadamu nimeona katika andiko lako mmojawapo ukisema ninyi watu wa pwani tukio kama hili mnalifanya kwa mwezi mzima, kwa mkutadha huo basi niendelee kukutakia kila lililo jema kwa mwezi huo mzima na Mungu daima awe mbele yenu katika kufanikisha hiyo kumbukumbu mhimu katika maisha yako hapa duniani.
 
Last edited by a moderator:
maneno yako unayocomment @Lwagga yananibariki na kunipa furaha na kufurahi mwezi mzima wa huu mwezi japo naona yana ulakini wake na umakini wake
 
hii avatar yako inanigusa sana sijui kwanini nimetokea kuipenda hebu iangalie vizuri hapa nimecopy na kupaste Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22). Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
ladfurahia siwezi kusema zaidi ya hapo best, najua yapo mengi mazuri kama sio matamu,lakini nadhani wahusika wakuu wana nafasi nzuri ya kuyasema na kupokelewa vema, kwangu mimi na wengine wa aina yangu lazima tuwe na mipaka, hivyo nadhani hapo nilipofikia ni mwisho.

Maadamu nimeona katika andiko lako mmojawapo ukisema ninyi watu wa pwani tukio kama hili mnalifanya kwa mwezi mzima, kwa mkutadha huo basi niendelee kukutakia kila lililo jema kwa mwezi huo mzima na Mungu daima awe mbele yenu katika kufanikisha hiyo kumbukumbu mhimu katika maisha yako hapa duniani.
 
hii avatar yako inanigusa sana sijui kwanini nimetokea kuipenda hebu iangalie vizuri hapa nimecopy na kupaste Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22). Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)

Hiyo ni signature na sio avatar, hata mimi naipenda hiyo signature yangu ndio maana niliichagua na kuiweka hapo, nafurahi kusikia toka kwako ya kwamba unaipenda pia. Kama unaipenda sana nawe waweza kuitumia pia, na mimi naweza kutafuta nyingine kama hautataka tuitumie wote. ama unaweza kunipa assignment ya kukutafutia/kukuchagulia signature lakini yenye mlengo wa kujenga kiimani na familia ya Mungu.

Kama sijakuelewa ulichomanisha, unaweza kufafanua zaidi hapa ama pm.

Uwe na siku njema mpendwa ladyfurahia.
 
Back
Top Bottom