Kila aguswaye na pendo

Kila aguswaye na pendo

aksante mkuu ubarikiwe kwa maneno yako matamu yaliyojaa bashasha yenye mvuto wa hisia kali ndani ya ........................... weka hapo mkuu
Happy Birthday ladyfurahia, hongera sana mkuu Mentor kwa kuendelea kutunza/kulea, Mungu awape maisha marefu yaliyojaa furaha, upendo, amani, hekima, busara na yote yampendezayo Mungu.
 
ameniiiiiiiiiiiiiiiiiii ubarikiwe nakula ndizi na keki ya makande hapa karibu japo kwa kuona sura ya makande ukutani hapo kwako au samaki kama ndugu zangu kabila fulani silitaji nitatwangwa makofi hapa
keki ya makande ki.s.h.u.m.b.a au?

happy birthday ladyfurahia! hongera Mentor! nawaasa muendelee kupendana zaidi na zaidi! kila birthday ya mmoja wenu ifikapo, ifanyeni iwe ni mwanzo mpya ya maisha yenu ya furaha, ya kale yenye kuudhi na yasahaulike kabisa!!
 
Last edited by a moderator:
asante my bestito nawe ubarikiwe na familia yako pia ibarikiwe muwe na wingi wa siku na afya njema ila take care
happy birthday ladyfurahia! hongera Mentor! nawaasa muendelee kupendana zaidi na zaidi! kila birthday ya mmoja wenu ifikapo, ifanyeni iwe ni mwanzo mpya ya maisha yenu ya furaha, ya kale yenye kuudhi na yasahaulike kabisa!!
 
Mbona hapa pana Question mark? kwenye alama nyekundu hapo "kwa shauku ninahema, ka nilietoka kubikiri,
heri siku kuzaliwa, mwandani wa wangu moyo!!! Mentor
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom