ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
haa sikujua bestito jamani asante kwa kunitakia kheri na fanaka na afya njema namshuukuru Mungu kuniweka hadi leo kwani wangapi wamekufa wengine ni wadogo kwangu namshkuru Mungu nashkuru kuwa nawe umefurahia kuwepo kwangu duniani asante,
b) Acha nikachukue msumeno wangu nije kukubanjua hapo sikujua kumbe wewe Marriade samahani sana kwani ukunitambulisha hilo siku ile ya kwanza uliponikuta nikifua nguo za shem wako Mentor
c) nitaendelea kumtia moyo naye atapata wake muda si mrefu asipozimia roho awe na subira na uvumilivu kwani ndio silaha kubwa

ladyfurahia, kwanza nikupe hongera kwa kuendelea kula chumvi nyingi hapa duniani, na kukutakia kila lililo jema maishani mwako na kipenzi cha moyo wako jirani yangu Mentor(jirani wapi keki leo; kijiji beach au mikadi beach?).
Pili, ningependa kukufahamisha kuwa i'm married to my sweet wife mwaJ, kwahiyo ningependa uniondoe katika hilo group la wanaume wa JF wanaoweza kumtoa best yangu Nivea.
Tatu, nakutakia kila la kheri wakati wote unapoendelea kumpa kampani Nivea hadi ampate amfaaye kwa dhiki na raha.
Last edited by a moderator: