Mbowe alikuwa South Africa akaunganisha Oman kisha akarudi Dar es Salaa, leo kaenda Hai.
Zuzu la mazuzu kutoka kuzimu weka na comparison ya cost
Mbowe alikuwa South Africa akaunganisha Oman kisha akarudi Dar es Salaa, leo kaenda Hai.
![]()
Kikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi
Mmeshindwa kumpindua kwa kutumia sanduku la kura katika chaguzi kuu mbili za kidemokrasia, kwa sasa ndiyo mtaweza kwa njia nyingine.
Waulize wale walidai na kusema hawamtambui lakini cha kushangaza kila mara wanakwenda Ikulu kuomba msaada wa kisiasa pale maji ya kisiasa yanapowafika shingoni.
Kazi za Rais Kikwete hazihitaji kutumia darubini ili uzione.
The President is delivering on his promises to make Tanzania so much the better.
Watanzania hawawezi kuishi kwa kutegemea maneno ya wanasiasa pekee kama wale waliodai hawamtambui, bali Watanzania wataishi kwa kutegemea matendo ya wanasiasa.
Hii habari ya kuomba umeipata wapi mkuu? Ivi unadhani bila kuwa na wawekezaji wakutosha tutapiga hatua za haraka? Jk anatafuta wawekezaje kwenye sekta muhimu,,china amepata wawekezaji kwenye reli ya kati,,tusubiri na Vietnam atakuja na wawekezaji wa aina gani ili tupige hatua..acheni kubeza kila kitu hizo nchi za asia mashariki hazikuendelea tu hivi hivi...
Dr. Slaa akipokea zawadi maalum ambayo rais wa marekani tu ndiye aliyewahi kupewa
Source: CHADEMA DIASPORA : Breaking News: Dr. Slaa Ndani Ya NASA. Aionya CCM Kwa Kuuwa Elimu na Ubunifu !
Hata haya hamuoni kuzuwa?
Hii habari ya kuomba umeipata wapi mkuu? Ivi unadhani bila kuwa na wawekezaji wakutosha tutapiga hatua za haraka? Jk anatafuta wawekezaje kwenye sekta muhimu,,china amepata wawekezaji kwenye reli ya kati,,tusubiri na Vietnam atakuja na wawekezaji wa aina gani ili tupige hatua..acheni kubeza kila kitu hizo nchi za asia mashariki hazikuendelea tu hivi hivi...
hawa jamaa wanasema wanamuenzi Nyerere,Nyerere sera yake ni ujamaaa na kujitegemea wao ni KUTEMBEA NA KUOMBA
Hewe punguani unabisha au unapinga tu bila kujua, Mbowe alikwenda Oman yeye na Lukuvi pamoja na Anna Makinda, Mbowe alitoa pesa yake mfukoni? wewe utakuwa Chadema-Kata.Kwa akili yako unaona hili jambo ni siasa! Hapa tunazungumzia kikweta rais wa tanzania, gharama ya safari ya rais si sawa na hata ya waziri, sasa wewe unaleta mambo ya mbowe m/k wa chadema wakati hapa anazungumzia kikwete rais wa tanzania, una akili wewe?
Russia umempeleka wewe?Membe yuko.Russia!nchi tamu hii!
Alikuwa pekee kwa shughuli zake pekeee kwa pesa yake sasa dar to Hai ni buku ngapi?
tujadili gharama na tija za safari hizoKwa hivyo Great Thinker unashauri Rais awe anabaki humu humu nchini ?? Halafu Marais wa hizo nchi za Ulaya, Marekani na Asia ndiyo waje wamtembeleee ? Wafanyabiashara na Wawekezaji waje kumtembelea ? Hiyo nayo SHULE !
Professa wa kusafiri hajapewa!!!?
Nahisi dr alienda kumwombe ajira vasco da gama ili awe dereva wa Apolo maana tumechoka kuona kodi zetu zinamalizwa na ki gulf stream,kindege hakitulii kila dakika unakiona kinakatiza kipawa utafikiri daladala bwana