Andfaru
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 222
- 150
Nahisi dr alienda kumwombe ajira vasco da gama ili awe dereva wa Apolo maana tumechoka kuona kodi zetu zinamalizwa na ki gulf stream,kindege hakitulii kila dakika unakiona kinakatiza kipawa utafikiri daladala bwana
Nimecheka saba hii. ..dah mkuu you have made my day!