Kikwete yuko Vietnam

Kikwete yuko Vietnam

Vasco da Gama yupo Asia, Membe na Pinda Ulaya, Mwandosya Zambia, Nyarandu yupo na Aunt Ezekiel Marekani.
 
10402379_811523085578354_4082408879449939251_n.jpg


Kikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi.

Huyu jamaa akistaafu itabidi awekewe mbawa awe anaruka angani kama ndege vinginevyo ataugua kwa kutokuwa angani muda mrefu.
 
Profesa Kikwete hajui tu kuwa dili ni kwenda sehemu kutafuta masoko ya bidhaa baada ya kuzalisha na sio kwenda kuomba misaada ya kipuuzi. Kwamwe nchi hii hatutachagua tena wacheza ngoma na wakata viuno kwenda Ikulu
 
10402379_811523085578354_4082408879449939251_n.jpg


Kikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi.
Eti ni kweli kwamba mizinga 21 ni mitamu sana ?
 
Naangalia taarifa channel ten professor yupo Ziarani tena nchini Vietnam? Jamani hivi hakuna chombo au idara inayothibiti hizi safari wazee? Bado huwa Si elewi ni ziara gani waziri anayehusika Na miradi husika katika wizara yake anapaswa kufanya ziara katika nchi flani na zipi anapaswa kwenda Rais kama kiongozi wa nchi?
China 6days
Vietnam 2 days
.........
.........
..........
It goes that way and the list is almost endless.... Jamani nadhani haya ndiyo mambo ambayo kimsingi Katiba pia iainishe kwamba kitakuwa na kamati itakayo ratibu ziara za kiongozi wa nchi na ikiwezekana idadi ya ziara ziwekwe wazi kabisa atleast Kwa mwaka..... This is more tha too much, I am sure if we weigh cost vs benefit ya hizi safari huenda hazina uwiano hata kidogo. ImageUploadedByJamiiForums1414513931.091424.jpg ImageUploadedByJamiiForums1414513988.687490.jpg
 
Mmeshindwa kumpindua kwa kutumia sanduku la kura katika chaguzi kuu mbili za kidemokrasia, kwa sasa ndiyo mtaweza kwa njia nyingine.

Waulize wale walidai na kusema hawamtambui lakini cha kushangaza kila mara wanakwenda Ikulu kuomba msaada wa kisiasa pale maji ya kisiasa yanapowafika shingoni.

Kazi za Rais Kikwete hazihitaji kutumia darubini ili uzione.

The President is delivering on his promises to make Tanzania so much the better.

Watanzania hawawezi kuishi kwa kutegemea maneno ya wanasiasa pekee kama wale waliodai hawamtambui, bali Watanzania wataishi kwa kutegemea matendo ya wanasiasa.

Yap, wewe kada kweli, hahahahahaha. Ulikunywa sumu ya TANU, hata nyekundu ukiione unasema ah, hiyo rangi mbona nyeupe? Kuweni wawazi hata kama mnashibia huko.
 
ni aibu sana kuwa na viongozi wenye uwezo kidogo kifikra.

mimi ninaona aibu kuonekana mtanzania kila linapotajwa jina la Rais wa nchi ya Tanzania.

Rais wetu amekuwa wakala wa kutuaibisha kama taifa kwa kuwa ombaomba aliyevuka mipaka ya kuvumilika.

mimi ninawaonea wivu sana wakenya kwa sasa kwa kuwa na viongozi wenye fikira na mtazamo mpana kwa maslahi ya taifa lao.

taifa lao linajivunia sana Rais wao.

kila linapotajwa jina la Uhuru Kenyatta Wakenya wanajivunia sana na hata waafrika kwa ujumla wake.

na mimi najivunia sana kuwa na Kenyatta kama Rais anayebeba nembo na matumaini ya Afrika yaliyopotea miaka mingi.

TUJIFUNZE KWA VIONGOZI WA KENYA HASA UHURU KENYATTA NAMNA YA KUENDESHA NCHI NA SI KUKIMBILIA KUWA OMBAOMBA BADALA YAKE TUKAE KAMA TAIFA TUPANGE NINI TUFANYE ILI TUSITAWI.

HAKUNA NCHI ILIWAHI KUENDELEA KATIKA HISTORIA YA MAENDELEO KOTE DUNIANI KWA KUZUNGUKA DUNIA NZIMAKUOMBAOMBA.

HUYU RAIS ANATUABISHA KAMA TAIFA.

MAANA TUNAONEKANA UWEZO WA TAIFA WA KUFIKIRI KWA UJUMLA WAKE NI KIDOGO SANA KWA SABABU YEYE NDIYO NEMBO KWA TAIFA LETU NA AMESHINDWA KUTUONGOZA KUFANYA MAMBO YETU SISI WENYEWE BADALA YA KUWA OMBAOMBA
..kuna watanzania wenye mawazo ya kipimbi sana wanaposhindwa kuona kuwa hizi ziara za JK nje hazijawa na impact yoyote kwa uchumi wa TZ zaidi ya kuwa mzigo kwa walipa kodi...Inauma kuona kuwa kuna watu bado wanatetea ziara hizi katika kipindi hiki ambapo hata mishahara ya watumishi serikli inashindwa kulipa.....Inasikitisha sana kuona kuwa watawala hawa wako tayari kusafiri nje ya nchi kwa wiki kadhaa na genge la watu wao...huku nyuma wakiacha nchi ikiwa taabani kifedha katika sekta zoote za maendeleo na huduma za jamii....

..Huu upofu na ignorance ya watawala kwa matatizo ya watu wao unatia simanzi na ni janga kuu la taifa la TZ kwa utawala huu....Inaonyesha kabisa mchwa hawa wameamua kutafuna katika mda huu waliobaki nao madarakani....maana hamna kabisa kwa kipindi cha miaka 9 uhusiano wa kupiga hatua kimaendeleo na safari hizi za JK....Haya yote yatahojiwa tu.....hata kama si kesho....pale tutakapopata rais mkombozi wa taifa hili....Ipo siku...Nimeona pinda nae ameanza kwa kasi ya ajabu kutoka nje ya nchi kipindi hiki...leo nimeona yuko Oman anashikwa pembe na waarabu....Inauma...
 
10402379_811523085578354_4082408879449939251_n.jpg


Kikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi.
Akimaliza huko mwambie apitie pia Azerbaijan na Kirgistan. Sidhani amezitembelea hizo nchi na muda wake mamlakani unaelekea ukingoni.
 
Ni kweli siye tuliyetoka VIJIJINI tukaja mjini tukula burger na pizza badala ya ugali na maharagwe.

Naomba nikupe nukuu hii toka kwa JK Nyerere,huyu aliyekuwa mwanzilishi wa hiyo CCM yenu..Alisema nanukuu"Siku moja akitokea kiongozi wa TAIFA letu akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani,mwambieni wewe ni mpumbavu" mwisho wa kunukuu.

Na hii nukuu ya pili ni ya Rais wetu mpendwa nitanukuu ..."Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda kuomba ,huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu!Unachotakiwa ni kujieleza wakikuelewa watakupa"

Ukiweza kuzitafakari hizi nukuu mbili hautakaa uandike tena hiyo post yako.Pole.

Yani vijana wa sasa mpaka wanatia aibu kujifanya wanajua, tena kama ingekuwa inawezekana kujua hali zao na za ndugu zao watokako, tungepata kujua ukweli wa madai yao kama ni ya thati. Uhuru kenyata huwezi kumlinganisha na JK lini kenyata alipewa mwaliko alafu akakataa? sio kila safari za JK anaziomba yeye zingine anaalikwa,achenichuki zenu, zinaboa
 
Profesa Kikwete hajui tu kuwa dili ni kwenda sehemu kutafuta masoko ya bidhaa baada ya kuzalisha na sio kwenda kuomba misaada ya kipuuzi. Kwamwe nchi hii hatutachagua tena wacheza ngoma na wakata viuno kwenda Ikulu

Acha kudhalilisha kabila za watu M.P.U.U.Z.I wewe, mbona watu tunafahamu kabila yako ni kijinga kabisa lakini tumenyamaza, mpinge JK kwa vile utakavyo lakini si kwa jamii yake ya pwani au kabila yake, kama unamuona yeye kwako hafai basi inatosha lakini si kuwadhalilisha watu wa PWANI kwa kuwaita WAKATA VIUNO na WACHEZA NGOMA, hebu niambie ni kabila gani isiyokuwa na ngoma TANZANIA ?? HESHIMA HAIUZWI.
 
Back
Top Bottom