Kikwete amepoteza utu wa mtanzania. Kuwa ombaomba siyo sifa, ni aibu, ni kukiri unyonge wa akili na moyo.
Kama Kikwete hawezi kufikiri atashindwa hata kutazamia? Wenzetu Kenye uchumi wao unazidi kuimarika kwa mipango thabiti ya Wakenya na Rais wao, sisi wa kwetu kila siku kiguu na njia, unadhani nyumbani kafukuzwa.
'Siku moja akapatikana kiongozi wa Taifa letu, akasema huko nje kuna pesa kuliko hapa nyumbani, mwambieni, wewe ni mpumbavu'. Rais wetu anaamini huko nje kuna pesa kuliko hapa nyumbani.
mzurulaji huyo, bado Trinidad na Tobago!
Hawa hapa.
View attachment 196973
Duh!!! we jamaa kweli huna akili kabisa, hiyo ziara ya Mh. Mbowe ilikuwa ni ya Kiserikali, ya kichama au ya kibinafsi? na je ziara hiyo imegharamiwa na fedha za serikali?
Kwani anaomba kwa ajili ya familia yake msoga?#think wisely
ni aibu sana kuwa na viongozi wenye uwezo kidogo kifikra.
mimi ninaona aibu kuonekana mtanzania kila linapotajwa jina la Rais wa nchi ya Tanzania.
Rais wetu amekuwa wakala wa kutuaibisha kama taifa kwa kuwa ombaomba aliyevuka mipaka ya kuvumilika.
mimi ninawaonea wivu sana wakenya kwa sasa kwa kuwa na viongozi wenye fikira na mtazamo mpana kwa maslahi ya taifa lao.
taifa lao linajivunia sana Rais wao.
kila linapotajwa jina la Uhuru Kenyatta Wakenya wanajivunia sana na hata waafrika kwa ujumla wake.
na mimi najivunia sana kuwa na Kenyatta kama Rais anayebeba nembo na matumaini ya Afrika yaliyopotea miaka mingi.
TUJIFUNZE KWA VIONGOZI WA KENYA HASA UHURU KENYATTA NAMNA YA KUENDESHA NCHI NA SI KUKIMBILIA KUWA OMBAOMBA BADALA YAKE TUKAE KAMA TAIFA TUPANGE NINI TUFANYE ILI TUSITAWI.
HAKUNA NCHI ILIWAHI KUENDELEA KATIKA HISTORIA YA MAENDELEO KOTE DUNIANI KWA KUZUNGUKA DUNIA NZIMAKUOMBAOMBA.
HUYU RAIS ANATUABISHA KAMA TAIFA.
MAANA TUNAONEKANA UWEZO WA TAIFA WA KUFIKIRI KWA UJUMLA WAKE NI KIDOGO SANA KWA SABABU YEYE NDIYO NEMBO KWA TAIFA LETU NA AMESHINDWA KUTUONGOZA KUFANYA MAMBO YETU SISI WENYEWE BADALA YA KUWA OMBAOMBA
Akirudi mumkumbushe kuwa amesahau kuwa hajaenda Bermuda na Bahamas na muda ndio huo unayoyoma.
Wanapishana na Mbowe alikuwa hapo Oman kwa sultan anakula bata kwenda mbele.
teh teh teh
Hapana. Ila ni sawa na kuwa na mke kila siku anaomba mboga kwa jirani ilihali friji imejaa mboga ila ni mvivu wa kupika. Atakuwa anakuaibisha wewe na familia yako.
![]()
Kikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi
Anaogopa The Bermuda Triangle....
Mbowe alikuwa South Africa akaunganisha Oman kisha akarudi Dar es Salaa, leo kaenda Hai.
Na wewe nenda Kenya ukiwa ndugu zakk kama 200 hivi ili umpiku Kikwete maana naona unawasha sana kila ukisiki Rais kasafiri.
NASA wangemweka kuwa dereva wa Apolo ili apasue anga vizuriAhhha Tafadhali bhana! Yaani Kikwete aajiriwe na NASA? Niijuavyo NASA hakuna hata kitengo kimoja ambacho Kikwete anaweza kushiriki ndani ya NASA hata kama NASA wanatafuta mtu tu wa kubonyeza kitufe kila atakapoona ishara fulani tu kwenye Kompyuta, huyu jamaa hawezi kupita huo Usaili!
Na wewe nenda Kenya ukiwa ndugu zakk kama 200 hivi ili umpiku Kikwete maana naona unawasha sana kila ukisiki Rais kasafiri.
Nahisi dr alienda kumwombe ajira vasco da gama ili awe dereva wa Apolo maana tumechoka kuona kodi zetu zinamalizwa na ki gulf stream,kindege hakitulii kila dakika unakiona kinakatiza kipawa utafikiri daladala bwanaDr. Slaa akipokea zawadi maalum ambayo rais wa marekani tu ndiye aliyewahi kupewa
Source: CHADEMA DIASPORA : Breaking News: Dr. Slaa Ndani Ya NASA. Aionya CCM Kwa Kuuwa Elimu na Ubunifu !
Hata haya hamuoni kuzuwa?