Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
Wakati mwingine unaweza kuona unamtetea Mbowe kumbe unadhalilisha.
Mbowe alikwenda Oman ni Lukuvi pamoja na Anna Makinda.
Pesa za safari alitoa Mbowe?
Ritz hii komenti yako ni chini ya kiwango kabisa braza sometime ni busara kukaa kimya kuliko kujifanya una komenti kila sredi ni tatizo.
Last edited by a moderator: