Kikwete to USA (May 2009)

... safari nyingine mwezi wa 10 ndipo atakapo onana na Obama na kuweza kujitambulisha kwake!

Mwezi wa kumi? Na mwezi wa tisa si huwaga wanakwenda UN? Kwa hiyo kama asipotuma ujumbe UN mwezi wa tisa na kwenda yeye mwenyewe basi ina maana atakwenda Nyamewzi mwezi wa tisa na wa kumi? Man oh man...
 
Kwa wale mlioko Los Angeles mheshimiwa rais Kikwete anawasili huko Tuesday. Atakutana na Watanzania pia. Atawasili Washington D.C jumatano lakini hana mpango wa kukutana na Watanzania kwa kisingizio kuwa Jumuiya ya Watanzania Washington bado ina mzozano wa uongozi. Atakutana na Hillary Clinton jumatano hiyo na Ijumaa anaingia NY.

Jasusi,
Rekebisha ujumbe wako maana una contradiction. Angalia maandishi kwenye blue na nyekundu.
 
Huh! mkuu huna hata utani mjomba!..Kama ingekuwa kweli nisingekupa jina la mji... Unaweza kunifahamu tukafahamiana, sina noma mkuu wangu mimi hata siku moja sijifichi na wana JF wanajua hilo.

Haina shobo mkuu wangu, iko siku tutafahamiana, nakuwepo maeneo.
 
Jamani mwee huy JK toka aingie madarakani hajaingia mitaa hii kuna nini hasa?..Hivi Tanzania hatuna uhusiano wa karibu na Canada!...
Majuzi tu, Jumatatu wamekuja watu hapa kuitangaza EAC kibishara, wajumbe toka TZ, Kenya, Uganda, Rwanda kwa mwaliko wa watayarishaji ambao walitaka kiingilio kukutana na wakulu hawa. jamani hivi ndivyo tunavyozitangaza nchi zetu kweli?.

mtumieni email kumuambia kwamba totoz canada bomba...atakuja tu
 
Jasusi,
Rekebisha ujumbe wako maana una contradiction. Angalia maandishi kwenye blue na nyekundu.
RM,
Thanks. Unajua tena usingizi wa jumamosi asubuhi baada ya gongo la ijumaa.
Atakutana na Watanzania ( au jumuiya ya Watanzania wanaoishi Los Angeles,) lakini Washington DC amekataa kukutana na Watanzania wa hapo kwa sababu ya matatizo ya kiungozi ndani ya Jumuiya ya Watanzania DC. Nimeeleweka rafiki yangu?
 
Nyani Ngabu said:
Mwezi wa kumi? Na mwezi wa tisa si huwaga wanakwenda UN? Kwa hiyo kama asipotuma ujumbe UN mwezi wa tisa na kwenda yeye mwenyewe basi ina maana atakwenda Nyamewzi mwezi wa tisa na wa kumi? Man oh man...

Nyani Ngabu,

..labda jamaa anajenga.

..sasa ktk kila hatua ya ujenzi lazima atafutiwe safari/fedha.

..siku tutakapoambiwa gharama za misafara ya Raisi, kuna watu watapata heart attacks.
 
... safari nyingine mwezi wa 10 ndipo atakapo onana na Obama na kuweza kujitambulisha kwake!

Kwa hiyo atakuwa amevumilia na kumpa muda Obama mpaka baadae mwaka huu. Sio mbaya kuliko angejipeleka White House mapema hivi. Anaweza kuwa na shauku ya kumwona Obama lakini Kikwete ameonyesha ku appreciate the audience and attention afforded Tanzania by America at white house levels in recent times. Hajataka ku push zaidi na zaidi.

Atakuwa pia ameonyesha uelewa kwamba the current presidential agenda ya Whitehouse Tanzania, wala Africa haiko front and center, na kama anataka ku push an African agenda apitie Wizara ya Nchi, kwa Clinton.

Kama agenda ni ziara Department of State tu, nadhani Kikwete ameonyesha diplomatic restraint and maturity.
 
Mwanzoni, alikuwa anajitambulisha, baadaye alikuwa anaenda pia kama Mwenyekiti wa AU, na sasa anaenda kama Muombaji Mkuu wa Taifa, sijui mwakani itakuwaje.. let me guess haendi kokote atakuwa na ziara nyingi za vijijini ili kukutana na wanachi na kuelewa matatizo yao ili aweze kuyashughulikia akichaguliwa tena!
 
Kwa hiyo atakuwa amevumilia na kumpa muda Obama mpaka baadae mwaka huu. Sio mbaya kuliko angejipeleka White House mapema hivi. Anaweza kuwa na shauku ya kumwona Obama lakini Kikwete ameonyesha ku appreciate the audience and attention afforded Tanzania by America at white house levels in recent times. Hajataka ku push zaidi na zaidi.

Atakuwa pia ameonyesha uelewa kwamba the current presidential agenda ya Whitehouse Tanzania, wala Africa haiko front and center, na kama anataka ku push an African agenda apitie Wizara ya Nchi, kwa Clinton.

Kama agenda ni ziara Department of State tu, nadhani Kikwete ameonyesha diplomatic restraint and maturity.

absolutely!! He has shown a level of leadership unmatched by any other African leader. For this, he'll go down in history as one of Africa's greatest!!
 
Kikwete should have studied aeronautics, it seems like the man loves to fly!!!
 
Kwa mara nyingine tena jk kapaa. Eti kwenda kuwaona wakuu wa IBM. Kashindwa kumtuma waziri husika wa teknolojia? Inaonyesha jinsi gani asivyowaamini wale aliowateua
 
Nyani Ngabu,

..labda jamaa anajenga.

..sasa ktk kila hatua ya ujenzi lazima atafutiwe safari/fedha.

..siku tutakapoambiwa gharama za misafara ya Raisi, kuna watu watapata heart attacks.

Nafikiri gharama za safari za muungwana kwa mwaka ni sawa na bajeti ya mwaka ya baadhi ya idara kubwa serikalini ambazo nyingi hupata bil. 4 au 4.5 eg Idara ya Uvuvi, Idara ya Wanyamapori etc
 
Acheni aje Unyamwezini jamani........aagghhh......nyamwezi kuzuri jamani pale magogoni kunanuka shombo ya samaki...........

One request though.....hizo trip nyingine amuachie Makamu wake Dr. Shein
 
mbinu nyingine.. are you kidding me? Have you ever heard CCM ikisema curbing government spending? kufunga mianya ya extravagances kama iliyoko kwenye ripoti ya CAG au mfumo mzuri wa kodi?

Kwa kadiri misaada inaendelea kutawala hawaoni haja ya kutafuta mbinu mbadala!

On the other hand.. unajua wizi mkubwa wa fedha za umma unafanywa katika trip hizi.? Wakati akiwa anapitia UAE miezi michache iliyopita baadhi ya wapambe walinunua injini za magari yao kuziweka kwenye ndege kwa hela ya walipa kodi wa Bongo.. na JK hajui hilo!
Kwani siku hizi ameamua kutumia kile kicheche cha Mramba???
 
People, leave my prez alone please. y'all forgot he used to be 'Waziri wa mambo ya nje' and some will be like, So?
Yea!, so what?
Discuss issues not tissues (msonyo)
 
Hivi jamani tunabidi tulinganishe ziara zake zanje na za mikoa mbali mbali za nchi. Jamaa inawezekana anaonekana nje zaidi ya anavyo onekana nyumbani. Yani ikulu ya Tanzania imekua kama hoteli kwake anapo fikia akija nyumbani kwa muda mfupi kisha kupaa zake. Mwezenu hautaka uraisi alitaka privileges zinazo tokana na kuwa raisi. Mwakani mtaona safari za mikoani zitakavyo ongezeka na yeye kudai oh safari za nje zimeiletea taifa faida nyingi.
 
Back
Top Bottom