Genocide survivors have petitioned the UN Secretary General and U.S President over remarks made by Jakaya Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania at the 21st African Union Summit on May 26th, 2013 in Addis Ababa, Ethiopia. In his remarks, Kikwete is quoted to have called upon the Rwandan government to negotiate with the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR), an issue that has raised anger among the genocide survivors in and outside of Rwanda.
The FDLR rebel group is predominantly composed of members of the Interahamwe militia and the Armed Forces of Rwanda, who carried out the 1994 genocide against the Tutsi in Rwanda and have continued to conduct killings of innocent civilians in the Democratic Republic of Congo.
During an enclosed meeting called by the UN Secretary General in Addis Ababa, Kikwete is also reported to have argued that since Kinshasa was in talks with the M23 rebels, then it was about time Kigali opened negotiations with the FDLR rebels. Kikwete also pushed argument to Uganda, stating that Uganda should do likewise with its Congo-based rebel force, Allied Democratic Forces (ADF).
In a statement, released by Alice Umutoni, Vice Coordinator of the US-based organizing committee of the 19th Commemoration of the Genocide against Tutsi in Rwanda, the genocide survivors asked Kikwete to openly apologize to all survivors of the genocide in Rwanda and Rwandans in general, Congolese, Americans and many more people who have suffered from the FDLR terrorism.
The Rwandan genocide survivors also argued that Kikwete was fully aware of the atrocities committed by the FDLR in Rwanda and DR Congo, and other rebels groups in Uganda, though he went ahead to make such ridiculous remarks.
The petitioners stated that they were confident that the United States of America would not support this kind of political dealings that act as a setback to Rwandas efforts to ensure peace in the DRC and the region as a whole.
United States of Americas leadership has made a commitment to fight the international terrorism, and marked FDLR as a terrorist group, UN also placed a five-million-dollar bounty on handing over some Rwandan genocide perpetrators, including Sylvestre Mudacumura, the FDLR supreme commander who is wanted by the International Criminal Court (ICC) on charges of crimes against humanity and war crimes, including murder, rape, torture and attacking innocent civilians.
apige magoti na kuomba msamaha mara moja ..kwanza wampe ultimatum akikataa washambulie tanzania
Wajaribu waone!
EMTThe President should walk the talk. He needs to correlate what he says and what he does.
Kama anaamini kuwa dialogue ndiyo mpango mzima, kwa nini then alikubali kupeleka majeshi Congo?
Sioni logic ya kuishauri Rwanda wajadiliane na FDLR rebels wakati tumepeleka majeshi Congo kupigana na M23.
Tuna wanajeshi Congo. Kuna tuhuma kuwa Rwanda wanawasaidia M23.
Halafu hapo hapo tunawataka Rwanda wajadiliane na FDLR.
Hii siyo kuweka wanajeshi wetu kwenye risk?
We kweli ndo huelewi, yaani genocide walianzisha wa-tutsi?? iweje then waje wafight for their existance. Do you know kwamba watutsi ni wachache sana na Hutus ndo wengi? sasa wataanzishaje genocide.
Kukusaidia ni kwamba baada ya jeshi la kagame kuchukua nchi jeshi la serikali iliyokuwepo ilikimbilia drc, kwa sasa hawathubutu kurudi maana watawekwa kwenye sheria ndo maana wameamua kukaa msituni na kui-disturb drc. Sasa Kikwete anavyomwambia Kagame akae na hao magaidi ama wahalifu wa mauaji ya kimbari ni kama ku-negotiate na jambazi kitu ambacho rwanda inalalamikia. Rwanda inataka hao jamaa washikishwe adabu na si vinginevyo. Ndo maana hata hela zilizoibwa EPA hatuja ona watu wakishikishwa adabu kisawasawa, watu wanaomba warudishe....what the hell?
Au mbona hawamwambii Mseven akae na Kony (LRA) meza moja?
Dont u knw kwamba walishakaa wakashindwa kuafikiana?
Kumbe ni kitu hakiwezekani sio? so sasa wanafanyaje? unalo jawabu na ndicho Kagame anafanya.
Mkuu umewaza nilichowaza? Nilimua lert Salva juu ya hili muda tu humu humu jf. Sijui kama anapita. Kwingine kote kuna waandishi wa kupambana na international propaganda,yeye yupo wapi? Kalala?
EMT
Hapo nyuma tumewahi kufanya mazungumzo kupitia kwa Balozi Mulamula (Mrs) kujaribu kutanzua mzozo unaondelea lakini hatukufikia muafaka mpaka Mama Mulamula alipomaliza muda wake!
Kupeleka majeshi huko mashariki mwa DRC (Ngoma) ni ombi la UN kwa serikali ya JMT katika kuongeza nguvu ya kuwanyang'anya silaha waasi wa M23 wanaonendeleza vitendo viovu vya dhidi ya Bin-adamu.
Ikumbukwe kua sio Tanzania pekee ndio imepeleka jeshi huko mashariki mwa DRC.
Kwahivo sio kosa kwa Rais Kikwete kuangalia upande mwingine wa shilingi katika kutafuta suluhu ya AMANI katika ukanda huu wa nchi za maziwa makuu!.
Ni mawazo yake na yenye kama Mkuu wa nchi ameyatoa kwakuona inaweza kusaidia kupunguza kadhia inayoendelea nchini Congo.
Huyu mtu anakwenda kuingilia mambo ya watu ya kwake yanamshinda. Kweli naamini huyu hajachaguliwa na wananchi kuwa rais wetu bali alisimikwa ili alinde maslahi ya viongozi waliopita na ndiyo maana anaiba bila hata huruma kwani bado hajajuwa jukumu lake ni nini hapa nchini.
upo sawa kabisa waliikuwa wanatafuta nitoke vipi. Maana siku zote ule mwiba wa Kongo walikuwa wanausemea chinichini. Kwelii wanakwambia fadhili mfadhili mbuzi binadamua atakuudhi wema wote tuliowatendea na bado ming'ombe yao imejazana huko Karagwe inaharibu mazingira, bado wanatuchokoa tu. Hivi hawajiulizi Jumuia za kimataifa ziwalalamike wao kila kukicha, Waliokuwa nao pamoja wanawakimbia wanatorokea SA. wakishatoroka wanawaita ni wauwaji wa kimbari kisa wameonyesha kutofautiana na Mkulu, yepi yalimpata bizimungu, yepi yamepata sijui nyamwasa, yepiyepi na yepi yataendelea kuwa yepi! mwisho wake nini si bora kupatana kwani kuna mtu ana guarantee na alipo, mbona wote tunapita tu duniani, kwani nini wengine wajione wao ni bora? Yaani ukikaa na watusi kweli wana dharau, wanajiona wao ni bora utafikiri hawanyi? Kha!Labda hawa WanyaRwanda wanadhani wanayo hati miliki ya hasira hawa. Kuchezea Rais wa nchi yoyote ile ni kuchezea nchi hiyo yote. Kwanini wamekazana sana kututafuta? Wanatutafuta hawa.... eti? Nina mashaka tatizo wala si hii kauli ya Kikwete. Tatizo nadhani litakuwa ni Ule mwiba tumepeleka DRC.
Sidhani kwa hali ya sasa kama mazungumzo baina ya Rwanda na waasi wa FDLR yanaweza badili chochote. Hata leo Wanyarwanda wakipatana,yataibuka makundi mengine na vita itaendelea. Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu na Jumuiya ya Kimataifa wajikite ktk kuisaidia DRC ipate serikali imara yenye jeshi lenye nidhamu na uwezo wa kulinda mipaka ya Congo na wananchi wake.
upo sawa kabisa waliikuwa wanatafuta nitoke vipi. Maana siku zote ule mwiba wa Kongo walikuwa wanausemea chinichini. Kwelii wanakwambia fadhili mfadhili mbuzi binadamua atakuudhi wema wote tuliowatendea na bado ming'ombe yao imejazana huko Karagwe inaharibu mazingira, bado wanatuchokoa tu. Hivi hawajiulizi Jumuia za kimataifa ziwalalamike wao kila kukicha, Waliokuwa nao pamoja wanawakimbia wanatorokea SA. wakishatoroka wanawaita ni wauwaji wa kimbari kisa wameonyesha kutofautiana na Mkulu, yepi yalimpata bizimungu, yepi yamepata sijui nyamwasa, yepiyepi na yepi yataendelea kuwa yepi! mwisho wake nini si bora kupatana kwani kuna mtu ana guarantee na alipo, mbona wote tunapita tu duniani, kwani nini wengine wajione wao ni bora? Yaani ukikaa na watusi kweli wana dharau, wanajiona wao ni bora utafikiri hawanyi? Kha!
Naona tulifanya haraka kuwaingiza EAC hawa bado hawajatulia. Hainiingii akilini mtu kuambiwa upatane na fulani mgonvi wako kisha kama hutaki si unasema sitaki basi kuna lazima gani kumwambia aliyekwakwambia ukuombe msamaha? si hutaki acha kwani amekulazimisha.
Mimi naona hawa wana ajenda nyingi? Suala la Congo kwa kuwa wabongo wamo. Suala lingine lile la wahamiaji haramu na mang'ombe yao yaliyojazana kule karagwe na ngara kwa sababu serikali imesema wote waondoke? Sielewi kwa nini wanapenda kung'angania kwa watu. Yaani mwenye nyumba anakukaribisha anakupa hifadhi wakati wa shida bado unataka umpindue ili uwe wewe ndiye mwenye nyumba? hapa kuna walakini Wabongo tujitafakari we si unaona walivyojazana bongo wengi hawana hata hivyo vibali vya kuishi nchini kihalali wakiambiwa warudi yanawauma so wamepata pa kukoholea.
Kabla ya kuyaongelea hayo mawazo kama mkuu wa nchi alishakutana na mkuu wa nchi ya Rwanda na kujadiliana nae uwezekano wa kugegotiate na hao FDLR?