Lakin Shapu dunia ya leo hakuna linaloshindikana ndugu yangu dialogue zimeleta suluhisho sehem nying tu dunian. Najua utakua unaelewa UNITA (sasa chama cha siasa) imetokea wap wamepigana vita miongo kadhaa, Siera Leon na Liberia, South Sudan na Sudan zimetokea wap, tatizo la dialogue lipo kwenye dunia ya waarab tu na nahis ni kutokana na version ya Ugaid vs umagharibi, na western culture vs Islamic civilazation kwamba baadh ya waarab wanajiona freedon fighters while ulaya wanawaona magaidi na wengne wanaona maslah ya dini yao yanapigwa vita while wazungu wanaita extrimism/radicalism ila kwa Africa hatujashindwa bado kama viongozi wakiweka tamaa nyuma na uzalendo mbele inawezekana kagame aache kutoa support na waasi wakubali demokrasia ichukue nafas!