‘Kikwete’s remarks on FDLR shocking’

‘Kikwete’s remarks on FDLR shocking’

Nampongeza Kikwete kwa remarks zake.........hawa Rwanda chini ya Utawala wa Kagame....ni very unstable na poor kwenye masuala ya peace and security........ubabe hausaidii.......katika historia ya Rwanda wote Tutsis & Hutus wana hatia....kilichobakia ni kwa kiongozi mwenye busara kumaliza tofauti......na walio na hatia kufunguliwa mashtaka......


Mkuu Gama umeongea ukweli mwingi sana.....heshima mbele Mkuu......
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtu anakwenda kuingilia mambo ya watu ya kwake yanamshinda. Kweli naamini huyu hajachaguliwa na wananchi kuwa rais wetu bali alisimikwa ili alinde maslahi ya viongozi waliopita na ndiyo maana anaiba bila hata huruma kwani bado hajajuwa jukumu lake ni nini hapa nchini.
 
I support my Presidents for this issue, hawa Wanayarwanda watalipizana visasi mpaka lini? Wakae chini sasa waondoe tofauti zao wajenge nchi yao, Kikwete yuko sahihi!!! Hao wao walitaka aseme mawazo yao??
 
niliumia sana kuona yule mwanamke waziri wa rwanda anamtukana kikwete,....rwanda kwanini hawasameheani? kama rwanda itakuwa na akili za aina hii, hawatufai kabisa hata katika east africa community....nategemea kusikia kauli toka serikali ya tz dhidi ya kauli walizotoa wanyarwanda/mawaziri wa rwanda...tukinyamaza tutaonekana mabwege, wamemtukana rais wetu wakati aliongea kitu kizuri kabisa. mwanzoni nilifikiri kikwete labda aliteleza akakosea, nilivyokuja kufuatilia, nimeona hakika kikwete was right. MEMBE WHERE ARE YOU?
 
kagame and his fellow blood suckers will fool some people sometimes but not all the people all the the times. they planned and perfomed genocides only to turn it to their relatives(hutu), they would rather understand that had Habyarimana accepted a dialogue with tutsi people early. rwandees wouldnt have suffered this much. wacha waendelee kudanganya dunia na waendelee kuwanyima haki wanyarwanda wenzao, mwisho wa kagame and his fellows ni mbaya, bora a seek reconsiliation mapema

You are right, the problem is known but as usual we are using Ostrich technique of hiding its head when predators approaches. They should talk and resolve all this mess, our president was very right
 
Huyu mtu anakwenda kuingilia mambo ya watu ya kwake yanamshinda. Kweli naamini huyu hajachaguliwa na wananchi kuwa rais wetu bali alisimikwa ili alinde maslahi ya viongozi waliopita na ndiyo maana anaiba bila hata huruma kwani bado hajajuwa jukumu lake ni nini hapa nchini.
RAIS yupo sahihi kabisa, mbona wakidundana wanakimbilia Kigoma na Kagera, kama ni mambo yao basi wauane huko huko. Hayo mengine ulosema hasa kwenye RED yananipelekea nisiendelee kubishana.
 

Genocide survivors have petitioned the UN Secretary General and U.S President over remarks made by Jakaya Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania at the 21st African Union Summit on May 26th, 2013 in Addis Ababa, Ethiopia. In his remarks, Kikwete is quoted to have called upon the Rwandan government to "negotiate" with the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR), an issue that has raised anger among the genocide survivors in and outside of Rwanda.

The FDLR rebel group is predominantly composed of members of the Interahamwe militia and the Armed Forces of Rwanda, who carried out the 1994 genocide against the Tutsi in Rwanda and have continued to conduct killings of innocent civilians in the Democratic Republic of Congo.

During an enclosed meeting called by the UN Secretary General in Addis Ababa, Kikwete is also reported to have argued that since Kinshasa was in talks with the M23 rebels, then it was about time Kigali opened negotiations with the FDLR rebels. Kikwete also pushed argument to Uganda, stating that Uganda should do likewise with its Congo-based rebel force, Allied Democratic Forces (ADF).

In a statement, released by Alice Umutoni, Vice Coordinator of the US-based organizing committee of the 19th Commemoration of the Genocide against Tutsi in Rwanda, the genocide survivors asked Kikwete to openly apologize to all survivors of the genocide in Rwanda and Rwandans in general, Congolese, Americans and many more people who have suffered from the FDLR terrorism.
The Rwandan genocide survivors also argued that Kikwete was fully aware of the atrocities committed by the FDLR in Rwanda and DR Congo, and other rebels groups in Uganda, though he went ahead to make such ridiculous remarks.

The petitioners stated that they were confident that the United States of America would not support this kind of political dealings that act as a setback to Rwanda's efforts to ensure peace in the DRC and the region as a whole.

United States of America's leadership has made a commitment to fight the international terrorism, and marked FDLR as a terrorist group, UN also placed a five-million-dollar bounty on handing over some Rwandan genocide perpetrators, including Sylvestre Mudacumura, the FDLR supreme commander who is wanted by the International Criminal Court (ICC) on charges of crimes against humanity and war crimes, including murder, rape, torture and attacking innocent civilians.
 
Nakumbuka Nelson Mandela alishawahi kugoma kuwasikiliza viongozi wa wanamgambo wa Rwanda na Burundi baada ya wao kila wanapokuja kwenye mkutano wanapinga kila kitu yaani kiwe chema kiwe kibaya wa "no". Nyerere akamwambia hao jamaa wanachofuata ni posho za UN wenzao wanakufa, wanateseka, wanabakwa na hawapati huduma muhimu wao wanasafiri daraja la kwanza, wanalala hotel nyota tano na wanapata posho kubwa kutoka UN ikaamuliwa wasiwaite tena kwenye vikao vya upatanisho na wakiitwa posho zipunguzwe kwa kiasi kikubwa. Nandivyo ilivyofanyika amani ikaanza kurejea baada ya kuona hamna wanachofaidika.

Hawa wanyarwanda wanataka JK aombe radhi kisha wamwambie alipe fidia, Usijaribu kabisa Mh. Raisi. Kagame anajulikana vyema na ushahidi umeshatolewa mara nyingi tu na Uganda na DRC kuwa anafadhili vikosi ujambazi vinavyowalina wamarekani na mafedhuli wengine kuiba Madini hasa Uraniam na Almasi za DRC. Hivyo ikifika mahali vikosi vile vikipatana mwishowe Rwanda haitapata ruzuku toka USA. Meza ya mapatano itamtenga na majangili.
 
Good day;
In that case UN sec. B-Ki-Moon should apologize for his Tasks...
How it happen s moderator is a victim?
This baseless claim!
 
Huyu sidhani hata kama anajua mahusiano baina ya hizi pande mbili ki undani na ndio maana karopoka. Ukiwa unasafiri safiri ughaibuni unapata wapi muda wa kujua yanaoendelea kwako achilia mbali kwa majirani zako?
 
sIJAWAHI KUMUUNGA
KIKWETE MKONO Ila kwa hili namuunga mkono...KAGAME NA MUSEVENI WOTE NI WAASI WAKE NA WAASI WENZAO WAKUBALIANA NAMNA YA KUSHARE RASILIM ALI ZA NCHI ZAO(UGANDA NA RWANDA) KILA SKU KAGAME ANAMFUNGA MPINZA WAKE HUYU MAMA WA KIHUTU CZ KAGAME NA MUSEVENI WOTE NI WATUSI.....ATANTAGANDA KAGAME NA MUSEVEN WALIKUWA WANAMUUNGA MKONO UFARANSA NA MAREKANI WALIPOKUWA WAKALI RWANDA WAKAMRUHUSU AKIMBILIE UBALOZ WA MAREKANI KIGALI ETI WAKADAI HAWAJUI KAINGIAJE RWANDA WANAFIKI WAKUBWA HAWA
 
SIJAWAHI KUMUUNGA
KIKWETE MKONO Ila kwa hili namuunga mkono...KAGAME NA MUSEVENI WOTE NI WAASI WAKAE NA WAASI WENZAO WAKUBALIANE NAMNA YA KUSHARE RASILIMALI ZA NCHI ZAO(UGANDA NA RWANDA) KILA SKU KAGAME ANAMFUNGA MPINZANI WAKE HUYU MAMA WA KIHUTU CZ KAGAME NA MUSEVENI WOTE NI WATUSI.....ATA BOSCO NTAGANDA KAGAME NA MUSEVEN WALIKUWA WANAMUUNGA MKONO KTK KUIBA DHAHABU HUKO CONGO DRC UFARANSA NA MAREKANI WALIPOKUWA WAKALI RWANDA WAKAMRUHUSU AKIMBILIE UBALOZ WA MAREKANI KIGALI ETI WAKADAI HAWAJUI KAINGIAJE RWANDA WANAFIKI WAKUBWA HAWA NDIO MAANA HAWATAK ATA KUPELEKA JESHI MASHARIKI MWA KONGO
 
International diplomacy is like walking on a tightrope. You have to balance carefully.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
This people theyre too special.kila mtu awaombe radhi wao kina nani?alichoongea kikwete kakosea wapi.na this time ikiibuka vita huko watafute pa kwenda wakijileta TZ ni viboko tu warudi huko huko kwao wamalizane pumbavu.
 
Now that Kikwete wants terrorists on the negotiating table, do we also hope to hear him call on the US to initiate direct talks with Al Qaeda terrorists!

Hii imenikumbusha mbali sana Raisi wenu anavyotaka ku-negotiate with Majambazi. Eti walioiba hela za EPA rudisheni au njooni mjitokeze tujue jinsi ya kufanya kweli wakarudisha ama hawakurudisha na maisha yanakwenda. How on Earth do you negotiate na Jambazi???? unanegotiate nini, kamata weka ndani kamata mali zake zote....ushenzi tu huu. Wacha warwanda wamweleze alivyo kilaza.
 
This people theyre too special.kila mtu awaombe radhi wao kina nani?alichoongea kikwete kakosea wapi.na this time ikiibuka vita huko watafute pa kwenda wakijileta TZ ni viboko tu warudi huko huko kwao wamalizane pumbavu.

"These people are too special" if u wanted to use "This" then it should be "This person is so special" or feels special.
 
Back
Top Bottom