Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.
Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:
"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.
Rais Kikwete hajakosea,na pia jukumu la kuchagua viongozi au jukumu la kujua ni kiongozi gani anahitajika linabaki kwa wapiga kura.Suala pia si la kijana tu,kijana mwenye uwezo ili tusijetukaburuzwa na ride ya ujana au jinsia tu kama ilivyokuwa 2005,people voted for "beauty" not for "Duty",ha ha ha! loh
Ila sasa anaposema msikubali anamaanisha nini?inaonekana sasa yeye atatumia udikteta ndani ya chama chake kukataza mtu asigombee? Kwenye hoja ya ujana hajakosea,ni wazo zuri
It will be unfair to deny /ask somebody not to contest and will be infringing on his constitutional right. It is a right given to him by the Constitution which he has a sole discretion to exercise.
Tanzanians at this stage should be talking of credible elections and free participation. Credible people should be allowed to participate in the election
Again,It would be unfair for anyone to ask anymember of a political party not to run for presidency on the basis of an unconstitutional arrangement by a political party.
yes, nimefanya na nitaendelea kufanya. TANZANIA itaongozwa na kiongozi makini na sikwakigezo cha UMRI, futeni kabisa katika akili zenu. yaani madaraka then watanzania waendelee kupigika eti kisa kijana nasema hapana na hapana tunataka mtu mchapakazi na mtu makini na awe mzalendo kweli kweli.
Sasa Ben, mwenzako anatoa anachokifanya ama alichokwisha kukifanya wewe unakataa unataka ufanye wewe ndiyo tukubali? acha wenzako watoe maoni yao kama unavyotoa yako. maana mwisho wasiku mjadala umenoga utabadilika na kuwa kitu kingine. ushauri wangu KILEWO+ BEN+ZITTO= angalieni mbele kuliko kuanza kuonyesha true colour yenu kwenye kitu ambacho kwasasa hakina maana yeyote ni maneno matupu.
NITAENDELEA KUWALETEA MAJIBIZANO KULE FB NAONA NAWAO WAMEANZA KUJADILI NCHI SASA
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.
Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:
"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.
Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:
"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.
Hivi we Ben, mbona hueleweki? huu ni wakati wa kuyazungumzia matatizo ya watanzania na si muda wa kuangalia nani anagombea urais 2015, Chadema ina utaratibu mzuri ambao kimsingi wanaangalia nani anafaa kwa wakati huo. Na si kujipanga na kupania uongozi wa nchi hii. Nashangaa kwa nini meanza kuzungumzia hili swala wakati huu watanzania wana matatizo makubwa ya njaa, ukame, umeme etc.
Sitegemei mtu kama wewe kuanza kuzungumzia hizi issue, Zito bado ni kijana mdogo sana na graph yake ndiyo inapanda kwenye siasa sasa sijui mnataka ianze kushuka mapema.
Kikwete is irrelevant when it comes to choosing a new president. He has no credibility, and those who cling to his words will come to regret it. We no longer live in a one party state. He may wish for his party to have a younger candidate but has no power to dictate to the peoples party.
Ben mbona unakua mkali kama umeambiwa hayo na unajiamin upo right huna makundi ya nn pressure?by the way hata mm nishakusoma sana hapa unajifanya kuleta maelezo mengi na lugha tamu ya ushawishi while post zako ya mwanzo zimeegemea kumtetea zito na wazo la rais kijana!
Hii ishu ya urais italeta mgogoro kwenye chama na wazalendo hatupo tayari kuona hili likitokea,Wala huna haja ya kutuambia tumpuuze miss Parliament si sio vilaza kiasi chicho tuna pima mambo na tunaupata ukweli kwa kusoma post zako always maandishi hayadanganyi.
Naam Kijana Benard, mimi grayson Nyakarungu, Washa taa mchana, nitaomba nafasi hiyo ndani ya chama changu, ikiwa katiba itakuwa imebadilishwa au imerekebishwa, nimemwelewa jk anachomaanisha, ikiwa hana unafiki kwa anaopigana nao..lila na fila, basi hii itakuwa fursa nzuri kwa vijana wenye uwezo kuonyesha uwezo katika kutoa mwongozo na dira kwa taifa....naisubiri hatua hii sana.
Najua vijana wengi wa tanzania kwa sasa wamejengeka kwa mfumo wa uwezo wa kukosoa na hawana uwezo wa kutoa njia mbadala, hawawezi kuonyesha dir, kiwango chao kikubwa ni kuonyesha makosa tu....aina hii ya viongozi ndio wanaolifikisha taifa hapa tulipo,
Tunataka kiongozi mwenye uono mkubwa kwa taifa mwenye uwezo wa kueleza wapi anataka taifa hili lielekee na sio kutaja makosa tu ya waliopita na sio mwenye vocal cord nene tu bali zenye mguso wenye mafanikio.
Kama kweli jk anataka nchi iongozwe na kijana basi aharakishe mchakato wa katiba ila uwe wa haki na wa usawa.
Siiogopi vitisho! Afterall unatumia ID ya kujificha,uko gizani nipo kwenye light (natumia my real ID).......Hata mimi nina uwezo wa kusema,ila hapa sio sehemu sahihi.I can spit!
Pia nikukumbushe,sijawahi kuwa nje ya nchi nikiwa nakula raha,nimekuwa nje ya Nchi nikiwa nasoma au kwenye harakati........kuhusu wengine siwezi kuwasemea!
I find myself questioning why someone would choose to use this forum for this kind of slanderous, malicious, heartless and spiteful conversation. With the dawn of the internet we have now have the ability to say and post what and when we want to. The problem is, once the send button has been hit, the words cannot be taken back. I find it sinful that this conversation is taking place and sad that the second person involved with you Zitto/Kitila is not able to reply to what you have accused him of doing (not just with you but with the "alleged" ant-party conspiracy).
I am by no means an expert on the topic but it appears to me that you have digressed to a mud slinging contest which includes threatening (or so it seems!).
Miss Parliament, if your story has/had any credibility to it, you have destroyed that by the ongoing nonsense you continue on with. If??? you have been wronged there are channels that can be followed prior to resorting to this kind of , (I don't even know what to call it!).![]()
Miss Parliament: You need to stop this discussion before it lands you in LEGAL hot water (threats don't go over well with ....). You are apparently known from past situations so you need to back this off. Secondly, you really need to have a hard look within yourself and figure out exactly where you are in your Political journey because what I am reading would never and should never come out of the mouth of a practicing Democratic Politician
Wana Jamii Forums,with a due respect naomba watu wa aina hii muwapuuze tu kwa utengamano,maslahi ya taifa letu na future ya vijana wazalendo wa taifa letu.
CHADEMA ni moja,tumaini jipya kwa watanzania.Rais ajaye naamini kabisa ni lazima atatoka ndani ya chama chetu sasa tuuungane pamoja kujenga chama,tuunganishe chama tusiogope kukosoana kwani sisi ni tofauti na CCM.Tukuze demokrasia ili tukiingia madarakani watanzania watanzania wapate kitu ambacho hawajahi kukipata miaka hamsini iliyopita tangu tupate uhuru
Kauli mbiu ya sherehe za uhuru kwamba Tumeweza,tusonge mbele ni upofu na kubweteka kwa gharama ya baadae ya watanzania badala yake tulistahili angalao kuwa na hii Tumejaribu kiasi,tujisahihishe,tusonge mbele kwa ujasiri mkuu.Tuachane na kauli mbiu za kubweteka,tusiwaandae vijana kubweteka,kama wazee walikosea au kuzembea wasijihalalishie kwa kauli mbiu.Naamini CHADEMA hapa tunahitaji kuonyesha uwezo na dhamira yetu ya dhati kukitumikia kizazi hiki na cha baadae kwa kukiongoza katika ngwe ya pili baada ya miaka 50 katika ukombozi wa pili wa taifa letu.Tuungane pamoja 2015 hakuna wa kutuzuia! ! !
kumbukeni Mwl Nyerere alimwona JK wakati ule kuwa alikuwa baadoZitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.
Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:
"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.
Vikwazo,
Eeh,unaweza kuja na post yoyote niliyopendekeza jina la mgombea urais 2015?HIVI MKUU UNASOMA POST zote au?
The point is,People get the kind of leader they deserve, i.e the attitude of the leader is a reflection of the attitude of the mass followership. So we need to arrange these aspirants in the order we deserve to be governed.
Otherwise hiyo satatement ya Jk ni nzito,ni ambiguous lakini katika hiyo stataement kuna ya kupinga na kuna yanayotakiwa kuchukuliwa serious na kwa Uzito.Tusiwe kama CCM tena ambako kila kitu wanakataa hata kama kina maslahi kwa umma just because kasema mtu kutoka vyama mbadala.Tutakuwa hatutofautiani sasa na CCM kwenye suala zito la Posho na kusema tu Mtoa hoja(Zitto) anatafuta umaarufu.I was wondering kama taifa hili lingekuwa na wanasiasa wa aina hii wa kutafuta umaarufu at the same time wanagonga kwenye maslahi ya taifa,nadhani sasa tanzania tungekuwa the Giant of Africa 50 years baada ya uhuru.So ni vizuri kuwa na wanasiasa wanaotafuta umaarufu kwa kulipigania taifa na maslahi ya watu wake,pengine miaka 50 ijayo tutakuwa na wanasiasa maarufu kuliko maadui watatu Ujinga,Umaskini,Maradhi na sasa Ufisadi
Nimependa sana ushauri wako ulioutoa ila kuna sehemu sikubaliani,nikipata muda nitajadili,tuwe rational katika mjadala.Asante sana!
Narudia tena. Kikwete hana credibility. Zilch, none, nduhu!Talking about Kikwete's credibility in negative? this is ridiculous, what made you come up with such a nonsensical comment? Would he have have climbed the steep ladder of becoming the number one employee in the country if he was not credible? You must be joking.