Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

sasa mnataka Rais awe nani au Mnataka J. Makamba afanye kama ya Baba Yake, au Riz 1 ambaye hajajibu hoja nzito za ufisadi dhidi ya Mtikila au Huyu Mwenye ugonjwa wa kutoa maamuzi magumu ya kumpelekea Barua ya CC kutoka kwa Mkama!!!!.
 
Natoa wito kwa vijana wenye UWEZO na VIGEZO...jitokezeni kugombea nyadhifa mbalimbali kwenye vyama vya siasa,taasisi na hata serikalini.

Napenda sana slogan ya vijana kwa CHADEMA,chama pekee kinachojali na kutambua thamani ya vijana Tanzania kwamba"Vijana ni taifa la Leo".

Tuijenge CHADEMA kwa manufaa ya watanzania wote,tutumie platform zote,mitaani,vyuoni na kwingine kote kukiimarisha chama chetu.tujiandae tuive kiakamilifu kuchukua dola 2015.wenzetu Kenya wametuacha sana,South africa wako dunia nyingine,Rwanda wanakaribia kutuaibisha...where is our pride as a Nation? Tuungane kwa pamoja,let us restore our Dignity and Intergrity!

Mimi kama mwanachama,natoa wito kwa vijana wa vyama vingine wale wasio na vyama mjiunge kwa wingi na chadema(tumaini jipya la Tanzania).Njooni tuunganishe nguvu ya kulikomboa taifa letu upya,uhuru wa kwanza tulipata chini ya vijana akina J.k.Nyerere,Oscar kambona,Kawawa,Kombo na wengineo.Sasa miaka 50 baada ya uhuru tuuungane kuhakikisha makosa yaliyofanyika hayafanyiki tena

Naamini tunaweza kulijenga taifa letu upya kwa kutumia raslimali tulizo nazo,na kulifanya taifa letu kuwa taifa lenye nguvu Afrika,tunaweza kabisa ndani ya miaka 50 ijayo kufanya kile ambacho Russia ilifanya kwa miaka 70 kutengeneza taifa lenye nguvu duniani baada ya Bolshevik Revolution (1917).Tunaweza kabisa kufanya mageuzi makubwa kiuchumi na kijamiii na kugeuza zaidi ya watanzania millioni 15 tulio nao sasa kuwaweka katika mission ya kuingia katika middle-class na wale wengine kupiga hatua zaidi.

Tusiogope chochote njooni tujenge chama chetu,Venezuela inapiga hatua kwa sababu wana hazina,wana lulu ya the daring Comrades kama Hugo chavez, Lula Da silva alifanya kazi zaidi na vijana ku-transform more than 70 million ya population ya Brazil kuingia Middle-class.sasa tunawashuhudia walivyo na nguvu kwenye BRICS block.

Vijana tuwe na uthubutu bila kujali itikadi za vyama vyetu,dini,Jinsia na hata vipato.Miaka 50 babada ya uhuru,sasa ni wakati wa kuonyesha kwamba tunaweza kufanya yale ambayo yanonekana yanawezekana.ni wakati wa kubadilisha fikra za wale wanaotaka kuwatumia kwa maslahi yao.

Ili kufanikiwa yote hayo,ni lazima tuwe na the daring spirit,ni lazima tuthubutu.Haya ni mapambano ya fikra,tuvae combat kwenye brain cells sasa!Usiogope kuitwa jeuri,mjinga,mtukutu,mroho wa madaraka,gaidi nk. jitenge mabali na wale wanaoga,jitenge mbali na waoga wa mabadiliko,jitenge mbali na waoga wa demokrasia.Lengo la mfumo wa demokrasia ni kupata watu wenye uthubutu,lengo ni kupata watu jasiri kwa haki inayotokana na matunda ya ujasiri wao! Asanteni
 
ukifuata kauli za jk umeumia sidhani kama alikuwa anaamanisha, alijiongelea to hata hivyo hoja aina mantiki tatizo sio ujana tatizo ni uwezo!
 
yes, nimefanya na nitaendelea kufanya. TANZANIA itaongozwa na kiongozi makini na sikwakigezo cha UMRI, futeni kabisa katika akili zenu. yaani madaraka then watanzania waendelee kupigika eti kisa kijana nasema hapana na hapana tunataka mtu mchapakazi na mtu makini na awe mzalendo kweli kweli.

Mkuu hapa lazima tuseme ukweli Umri isiwe kigezo, mm naona vipo vigezo muhimu tu na sio umri.

Ukisoma posts za Ben utagundua hapa kuna kitu kinafichwa na ukiangalia game inavyokwenda CDM vs CCM ni kwamba ccm wameshaona wana hali ngumu na wanaihofia cdm dhahiri uchaguzi ujao 2015

na wanajua mtaji mkubwa wa Cdm ni sisi vijana. So Jk kutamka hayo ni kama mtego wa kutaka ku divert minds za vijana juu wazee mf. Dk Slaa.

Tunajua Jk haiwez kutuambia mgombea anaefaa kuwa Rais then atoke upinzani hiyo haitakuja kutokea,

ukwel ni kuwa hapa Zito hajashtukia mtego uliowekwa or may be anajua bt analengo maalum la ''tukose wote'' kwa kuwa tu haoni dalili za yeye kutimiza ndoto za kuwa rais na alisha ahidi 2015 akienda kigoma haitakua kuomba kura za ubunge ila urais.

CCM wata mtumia Zito kama chambo ili kudivert minds za vijana wa Cdm na itokee migongano kati ya vijana vs wazee na later vijana wanaweza kwenda NCCR na kugombea huko

na kama itafika hapo it means watakwenda huko na kundi kubwa la vijana ambao watakua wanaamini vijana wenzao wameonewa.

Matokeo yake ni cdm kuvurugika na CCM kupata ushindi kiulaini, Ninavyowajua ccm walivyo na mbinu chafu wanaweza hata kuwaahidi vijana hawa serikali ya mseto kama watagombe huko NCCR.

Magamba wanahofu kama cdm tutapewa ridhaa ya kuongoza lazima mafisadi wote waende jela hivyo kuna mkakati kabambe wa kuivuruga cdm kabla ya 2015 ili kujihakikishia usalama wao.

Cdm tumesha zishtukia mbinu zote na magamba wasitegemee kama watafanikiwa.
Aluta continua......
 
Natoa wito kwa vijana wenye UWEZO na VIGEZO...jitokezeni kugombea nyadhifa mbalimbali kwenye vyama vya siasa,taasisi na hata serikalini.

Napenda sana slogan ya vijana kwa CHADEMA,chama pekee kinachojali na kutambua thamani ya vijana Tanzania kwamba"Vijana ni taifa la Leo".

Tuijenge CHADEMA kwa manufaa ya watanzania wote,tutumie platform zote,mitaani,vyuoni na kwingine kote kukiimarisha chama chetu.tujiandae tuive kiakamilifu kuchukua dola 2015.wenzetu Kenya wametuacha sana,South africa wako dunia nyingine,Rwanda wanakaribia kutuaibisha...where is our pride as a Nation? Tuungane kwa pamoja,let us restore our Dignity and Intergrity!

Mimi kama mwanachama,natoa wito kwa vijana wa vyama vingine wale wasio na vyama mjiunge kwa wingi na chadema(tumaini jipya la Tanzania).Njooni tuunganishe nguvu ya kulikomboa taifa letu upya,uhuru wa kwanza tulipata chini ya vijana akina J.k.Nyerere,Oscar kambona,Kawawa,Kombo na wengineo.Sasa miaka 50 baada ya uhuru tuuungane kuhakikisha makosa yaliyofanyika hayafanyiki tena

Naamini tunaweza kulijenga taifa letu upya kwa kutumia raslimali tulizo nazo,na kulifanya taifa letu kuwa taifa lenye nguvu Afrika,tunaweza kabisa ndani ya miaka 50 ijayo kufanya kile ambacho Russia ilifanya kwa miaka 70 kutengeneza taifa lenye nguvu duniani baada ya Bolshevik Revolution (1917).Tunaweza kabisa kufanya mageuzi makubwa kiuchumi na kijamiii na kugeuza zaidi ya watanzania millioni 15 tulio nao sasa kuwaweka katika mission ya kuingia katika middle-class na wale wengine kupiga hatua zaidi.

Tusiogope chochote njooni tujenge chama chetu,Venezuela inapiga hatua kwa sababu wana hazina,wana lulu ya the daring Comrades kama Hugo chavez, Lula Da silva alifanya kazi zaidi na vijana ku-transform more than 70 million ya population ya Brazil kuingia Middle-class.sasa tunawashuhudia walivyo na nguvu kwenye BRICS block.

Vijana tuwe na uthubutu bila kujali itikadi za vyama vyetu,dini,Jinsia na hata vipato.Miaka 50 babada ya uhuru,sasa ni wakati wa kuonyesha kwamba tunaweza kufanya yale ambayo yanonekana yanawezekana.ni wakati wa kubadilisha fikra za wale wanaotaka kuwatumia kwa maslahi yao.

Ili kufanikiwa yote hayo,ni lazima tuwe na the daring spirit,ni lazima tuthubutu.Haya ni mapambano ya fikra,tuvae combat kwenye brain cells sasa!Usiogope kuitwa jeuri,mjinga,mtukutu,mroho wa madaraka,gaidi nk. jitenge mabali na wale wanaoga,jitenge mbali na waoga wa mabadiliko,jitenge mbali na waoga wa demokrasia.Lengo la mfumo wa demokrasia ni kupata watu wenye uthubutu,lengo ni kupata watu jasiri kwa haki inayotokana na matunda ya ujasiri wao! Asanteni

mbona unatoka nje kamanda? watu huku wanaongelea kuhusu kauli ya jk. wewe unawaambia watu wajiunge na vyama kanakwambwa watu humu tunapinga vijana kujiunga na vyama? kwa maandishi yako ndivyo umaanishavyo kitu ambacho siyo sahihi mkuu , kuwa mbunifu wa mambo unaitia CHADEMA aibu kwa wachambuzi wa mambo wa kisoma comment yako jinsi ilivyokaa. unapoteza sifa wa kijana kwenye chama makini kama CDM ndiyo maana tukawaambia wengi wenu bado hamjakomaa endeleeni kuwa wanachama wa kawaida na kutoa ushauri ila uongozi mtakuwa janga la kitaifa.*
 
Never nimeishaeleza yote ktk post yangu hapo juu so kama ana busara ataelewa.
 
Always maandishi hayadanganyi nilikwambia hilo jana nalirudia tena hapa. Tunaosoma post zako kwa utulivu na ku9ifanyia takafuri ya kina tunabaini mchezo unaochezwa, cna haja ya kurudia kuulezea hapa kwani nimeshaeleza kwa kina hapo juu.

Ben siasa haiendi kwa kukurupuka na kama hutasikiliza ushauri wa wadau tunaokupa hapa basi hutafika mbali kisiasa na mafanikio ya kisiasa kwako itakua ni ndoto
Wasaalam.
 
ni heri umueleze maana anapenda siasa za kudandia sana magari ila ukweli utamuhukumu siku moja na kurudi kwetu. anawengi kweli kweli atulizeboli aacha kukimbilia asipo pajua, maana hawa niwale wakifika wasipo pajua ama kwenye giza hachelewi kugive up. si itakuwa hatari ya chama makini kama CDM?
 
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.

Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:

"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.

Kwa sasa JK hana ubavu wa kutuchagulia rais au mtu mwenye sifa za kuwa rais. Angesema hayo kabla ya uchaguzi wa mwaka jana kwenye kampeni.
 
mbona unatoka nje kamanda? watu huku wanaongelea kuhusu kauli ya jk. wewe unawaambia watu wajiunge na vyama kanakwambwa watu humu tunapinga vijana kujiunga na vyama? kwa maandishi yako ndivyo umaanishavyo kitu ambacho siyo sahihi mkuu , kuwa mbunifu wa mambo unaitia CHADEMA aibu kwa wachambuzi wa mambo wa kisoma comment yako jinsi ilivyokaa. unapoteza sifa wa kijana kwenye chama makini kama CDM ndiyo maana tukawaambia wengi wenu bado hamjakomaa endeleeni kuwa wanachama wa kawaida na kutoa ushauri ila uongozi mtakuwa janga la kitaifa.*

Nimepoteza sifa eeh! Uko sahihi.......niko nje ya mada.Haya rudi kwenye mada.Hebu onyesha umakini wako kwa kuonyesha nimetoka vipi nje ya mada,hoja yako utakuwa umeipa heshima zaidi.

Duh,ati wengi wetu hatujakomaa? Ni kweli strategically hatujakomaa kama wengine unaowafahamu!

Always maandishi hayadanganyi nilikwambia hilo jana nalirudia tena hapa. Tunaosoma post zako kwa utulivu na ku9ifanyia takafuri ya kina tunabaini mchezo unaochezwa, cna haja ya kurudia kuulezea hapa kwani nimeshaeleza kwa kina hapo juu.

Ben siasa haiendi kwa kukurupuka na kama hutasikiliza ushauri wa wadau tunaokupa hapa basi hutafika mbali kisiasa na mafanikio ya kisiasa kwako itakua ni ndoto
Wasaalam.

Asante kwa ushauri wako......Thank you so so so much!! If there is anything I may do for you in return, please let me know!

BTW: Do credibility a favour,waambie wanaJF ni kwa jinsi gani sitafika mbali kisiasa na kwa sababu zipi.Thank you
 
ni heri umueleze maana anapenda siasa za kudandia sana magari ila ukweli utamuhukumu siku moja na kurudi kwetu. anawengi kweli kweli atulizeboli aacha kukimbilia asipo pajua, maana hawa niwale wakifika wasipo pajua ama kwenye giza hachelewi kugive up. si itakuwa hatari ya chama makini kama CDM?

Intersting Indeed! Hebu njoo na ID zako really,acha woga.Unajua miaka 50 baada ya uhuru hatustahili tena kuwa na vijana wenye fikra kama hizi?otherwise tutakuwa worse kuliko phase ya miaka 50 iliyopita.Vijana tuache ushabiki,tuache kutumika vibaya,tuache kujipendekeza. . . .Some of us here have not really interacted with the reality on the ground, immaturity and fanatiscism stand on our way of reasoning.There is no need to attack a political or social pundit because he is frank in his approach to issues
 
Zitto,

..ushauri wowote ule toka kwa JK unaohusiana na uongozi na namna ya kuchangua viongozi
unapaswa kupuuzwa.

..sote tumejionea jinsi anavyoboronga ktk kupanga safu ya wasaidizi wake, sembuse aje kutupangia ni Raisi gani atuongoze baada yake.
 
ujanja wa kikwete hapa kwa kusema rais kijana manake anamuengua dr slaa kiaina duh!
 
Binafsi naamini kabisa kuwa umri wa kupiga kura ndio uwe sawa kwa kushika nafasi yoyote ya uongozi.
 
Duuuh nimefuatilia mtanange huu wa siasa kuanzia Face book kwa muheshimiwa Zitto hadi Jamii forums kwa Mr Benn hadi mwilii unanisisimka.
Sina mengi ya kusema kwa maana wengi walionitangulia wameeleza yale machache ya point ambayo na mie nilitaka kuyawakilisha hapa.

Mh.Zitto na Benn -
Kwani nyie mnaajenda gani ya siri? maana naona mmoja anajinadi face book na mwingine anapigilia misumari ya moto ndani ya JF.
Hivi hatanyiewenyewe hamuoni haibu na kujisikia vibaya ndani ya miyoyo yenu? Hebu angalieni kwa kipomo comment za facebook na hapa JF
ni watu wangapi wanakubaliana na nyinyi na wangapi wanapingana na nyinyi? basi mjue mmechemsha sana kakazanguni na mmetushituwa sana.
Hivi wakati JK anaongea maneno hayo huko Kigoma kijana ulikuwa ni wewe tu mh.Zitto au kulikuwa na vijana wengine kama J.makamba,Kafulila nk? kwanini hao vijana wengine wasikimbilie kwenye maBlogg like facebook na JF ili nao wajinadi kama nyie? Maana kwa maelezo yako mh.zitto unasema JK kasema Rais ajae atapenda awe kijana....so hakutaja jina la huyo kijana kama ni Rz one,zitto,Benn,J.makamba wala Kafulila, So iweje
wewe ukimbilie kwenye mitandao na kushupalia kauli hiyo ya JK? Why hao vijana wengine hawajakimbilia kwenye mitandao kama wewe mkuu?
Hivi watu wakikuambia kuwa wewe muh.unahuroo na tamaa ya urais utakataa kweli na kusema wanakuonea? Hebu jifikirie CDM na CCM kuna wabunge vijana wangapi mbona hawaendi kwenye mitandao kuelezea hisia zao za kutaka urais? Na kwanini ni wewe tu mh.zitto kila siku uko kwenye mitandao na hisia zako za urais? Shame on u kaka Zitto na Benn wako wa Saa nane kama siyo wa Saa saba.

Kuna siku nilimshambulia vikali sana Miss perliment alipokuwa anajibizana na Benn kuhusu ufedhuli kama huu....na bila kuelewa chanzo cha mipasho yao ni nini nikajikuta ninamtetea Benn na mh.Zitto bila kujua sababu ya malumbano yao ni nini! lakini leo nimeshiba kwa kujionea kwa macho yangu mwenyewe. Alafu Mh.Mbowe akiwaelezeni ukweli kuwa mufanyao ni kinyume utaratibu wa chama mnakuja juu kama kifuu kiwakacho moto
na huku mkimwita Mh.Mbowe kuwa ni dikteta!....jamani kama mambo yenyewe ndiyo haya basi ni bora Mbowe aitwe dikteta tu kuliko upumbavu kama huu ambao unaweza kuiangamiza CDM kwenye uso wa dunia.

By theway ahsante sana Miss Perliment and keep it up mapambano bado yanaendelea
 
mbona unatoka nje kamanda? watu huku wanaongelea kuhusu kauli ya jk. wewe unawaambia watu wajiunge na vyama kanakwambwa watu humu tunapinga vijana kujiunga na vyama? kwa maandishi yako ndivyo umaanishavyo kitu ambacho siyo sahihi mkuu , kuwa mbunifu wa mambo unaitia CHADEMA aibu kwa wachambuzi wa mambo wa kisoma comment yako jinsi ilivyokaa. unapoteza sifa wa kijana kwenye chama makini kama CDM ndiyo maana tukawaambia wengi wenu bado hamjakomaa endeleeni kuwa wanachama wa kawaida na kutoa ushauri ila uongozi mtakuwa janga la kitaifa.*

Anatoka nje au anafanya makusudi kupotosha au kuwachanganya watu?hawa wana mbinu nyingi sana
Kabla ya uchaguzi mkuu 2015 mtatoka chadema tu.Ben,Zitto na wengineo...ni heri mtoke kwenye hiki chama mapema.Watanzania wamekipigania na wanakihitaji sana.uroho wenu wa madaraka usiwaharibie watanzania kufanya maamuzi sahihi 2015
 
Duuh!!....wabunge wa CDM bwana!
 
Ukiondoa minimum requirements za nafasi za uongozi, kigezo pekee cha kuangalia ni uwezo wa mtu. Uwezo huo hupimwa kwa kuangalia mambo mbalimbali na kubwa zaidi ni kuangalia maamuzi ya mtu. Uongozi hauonekani kwa kuwa na vyeo, elimu, nafasi au hata kuwa na wafuasi na mashabiki. Uongozi hupimwa hasa kwa kuangalia maamuzi mbalimbali ambayo mtu amechukua na kuyasimamia. Lakini zaidi huonekana kwa jinsi gani mtu ameweza kuwashawishi (kuongoza) watu kukubaliana na maamuzi yake au msimamo wake. Haitoshi kuwashawishi watu kukubaliana na msimamo wa mtu kifikra lakini vile vile kuangalia maamuzi yalikubaliwa vipi.

Hivyo, historia ya maamuzi sahihi na yenye kukubaliwa ndio dalili ya kuweza kujua kiongozi ana uwezo gani. Mtu anaweza kuwa na hoja nzuri na mawazo mazuri tu au akaamini kuwa mawazo na msimamo wake ni mzuri. Sasa ni jinsi gani anaweza kutushawishi tukubaliane naye, ni jinsi gani yuko tayari kucompromise ili kufikia kinachofaa na ni jinsi gani anaweza kuyatetea maamuzi au msimamo wake ni muhimu sana kujua. Kiongozi kama neno linavyoashiria ni "mtu anayeongoza"

Linapokuja suala la Urais wa nchi na kuweka hatima ya mamilioni ya Watanzania chini ya mtu fulani inahitaji uwezo wa juu kweli wa kuongoza. Watu wengine wanafikiria ujana na usomi ndio vigezo sahihi vya mtu kuweza kuwa Rais. Ndugu zangu, japo hili linatuvutia hisia zetu na kutupa moyo kuwa ndivyo inavyopasa ukiangalia kwa karibu utaona kuwa ni makosa kuchukulia vitu hivyo viwili na kuamini ndivyo vinavyohitajika. U can not divorce ability from leadership.

Kutokana na hilo naamini kwa 2015 Watanzania watatakiwa wafanye uamuzi siyo wa sura, siyo wa dini, siyo wa rangi wala siyo wa majina tu bali uamuzi unaohusu uwezo. Tusishangae kuwa kiongozi atakayekuja kuleta mabadiliko makubwa yumkini jina lake hivi sasa halitajwi kabisa wala watu hawamhisi kwa sababu yeye ni mtendaji anayeishi kwa kufanya maamuzi mbalimbali na kuyaacha maamuzi hayo yasimame yenyewe kama ushahidi wa uwezo wake. Macho yangu yamevuka majina ya wanasiasa wetu wa sasa na yako mbali yanamtafuta mtu kama huyo, kwani ndiye ambaye Tanzania inamngojea.
 
Well said Mwanakijiji; Zitto ni mwanasiasa mwenye akili sana lakini anakosa hekima ya kisiasa na ndio itakayomuangusha.
 
Back
Top Bottom