Muda ukifika utasema labda usigombee ubunge kupitia chadema.Nendeni NCCR au CCM kwenye watukutu huku kuna waadilifu na wasikilizaji.tuna watu wengi watatuunga mkono.Akina slaa na mbowe wamefanya kazi kubwa wakati nyinyi mkiwa mnakula raha India/uingereza,zitto Ujerumani na Kitila mkumbo Uingereza.ningekuwa wewe ningemfuata kafulila mapema NCCR.utanikumbuka na utajutia kutumia uwezo wako wa kushawishi na taaluma yako vibaya
Siiogopi vitisho! Afterall unatumia ID ya kujificha,uko gizani nipo kwenye light (natumia my real ID).......Hata mimi nina uwezo wa kusema,ila hapa sio sehemu sahihi.I can spit!
Pia nikukumbushe,sijawahi kuwa nje ya nchi nikiwa nakula raha,nimekuwa nje ya Nchi nikiwa nasoma au kwenye harakati........kuhusu wengine siwezi kuwasemea!
I find myself questioning why someone would choose to use this forum for this kind of slanderous, malicious, heartless and spiteful conversation. With the dawn of the internet we have now have the ability to say and post what and when we want to. The problem is, once the send button has been hit, the words cannot be taken back. I find it sinful that this conversation is taking place and sad that the second person involved with you Zitto/Kitila is not able to reply to what you have accused him of doing (not just with you but with the "alleged" ant-party conspiracy).
I am by no means an expert on the topic but it appears to me that you have digressed to a mud slinging contest which includes threatening (or so it seems!).
Miss Parliament, if your story has/had any credibility to it, you have destroyed that by the ongoing nonsense you continue on with. If?
?? you have been wronged there are channels that can be followed prior to resorting to this kind of , (I don't even know what to call it!).
Miss Parliament: You need to stop this discussion before it lands you in LEGAL hot water (threats don't go over well with ....). You are apparently known from past situations so you need to back this off. Secondly, you really need to have a hard look within yourself and figure out exactly where you are in your Political journey because what I am reading would never and should never come out of the mouth of a practicing Democratic Politician
Wana Jamii Forums,with a due respect naomba watu wa aina hii muwapuuze tu kwa utengamano,maslahi ya taifa letu na future ya vijana wazalendo wa taifa letu.
CHADEMA ni moja,tumaini jipya kwa watanzania.Rais ajaye naamini kabisa ni lazima atatoka ndani ya chama chetu sasa tuuungane pamoja kujenga chama,tuunganishe chama tusiogope kukosoana kwani sisi ni tofauti na CCM.Tukuze demokrasia ili tukiingia madarakani watanzania watanzania wapate kitu ambacho hawajahi kukipata miaka hamsini iliyopita tangu tupate uhuru
Kauli mbiu ya sherehe za uhuru kwamba Tumeweza,tusonge mbele ni upofu na kubweteka kwa gharama ya baadae ya watanzania badala yake tulistahili angalao kuwa na hii
Tumejaribu kiasi,tujisahihishe,tusonge mbele kwa ujasiri mkuu.Tuachane na kauli mbiu za kubweteka,tusiwaandae vijana kubweteka,kama wazee walikosea au kuzembea wasijihalalishie kwa kauli mbiu.Naamini CHADEMA hapa tunahitaji kuonyesha uwezo na dhamira yetu ya dhati kukitumikia kizazi hiki na cha baadae kwa kukiongoza katika ngwe ya pili baada ya miaka 50 katika ukombozi wa pili wa taifa letu.Tuungane pamoja 2015 hakuna wa kutuzuia! ! !