HIVI UKIMUONA ASKARI ANAKUJA KWAKO RAIA KUKUAMBIA KUWA "YULE BWANA NDIE ALIYEIBA BAISKELI YAKO NILIMSHUHUDIA KABISA NIKAMWAMBIA AACHE AKAENDELEA AKACHUKUA' UTAMUONAJE au kumtafsiri vipi
We ongelea nafsi yako bwana hao watu 10000 nawafananisha na kundi la punda linaloongozwa na simba
Lowassa kasema kama kuna mtu ana ushahidi kwamba yeye alihusika aende mahakamani!!! (jiulize swali je kuna mtu kaenda, je huyu mkuu wetu kaenda mahakamani???)
Kama rais alikua anajua kuwa lowassa ni muhusika kwanini hakumchukulia hatua mwaka 2008 na mpaka leo anaishia kupiga makelele tu, why anaogopa kumchukulia hatua??? nini kimejificha hapa???
Ikumbukwe kwamba mwaka 2010 kikwete alikua mstari wa mbele kusema lowassa ni mtu safi kwanini sasa anasema tena lowassa ni anahusika na richimond??? hii si ni dalili ya ukigeugeu????
Je ni wapi kama watanzania tulikosea mpaka tukapata rais kama huyu????
kwasasa hamna jinsi tena washachelewa na sisi kama watanzania tushaamua Hata wakimwita jambazi kura zetu twampa lowassa!!! in fact, ni bora mtu tunayemjua ni bora mwizi mmoja aliyezungukwa na wema 10000 kuliko mwema mmoja aliyezungukwa na majambazi majizi 1000000!!! viva lowassa RAIS WETU WA JMT viva UKAWA!!!
na huyo anaeiba ukimkamata akakwambia mimi sio mwizi ila nimetumwa kuiba,utamwelewaje?
Kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye Richmond, baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .
Alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .

Nadhani siku unazindua kampeni ungetueleza si leo rais unatushangaza
Kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye Richmond, baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .
Alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .
Kama ni kweli basi kaonyesha jinsi alivyo dhaifu!
Manake, kwa nini sasa serikali yake haikumchukulia hatua za kisheria?