Kila nikilala naomba kwa mungu asitokee rais boya tena kama huyu jk.
Hakuna mtanzania aliyekatazwa kuwekeza ila masharti lazima yazingatiwe wakati mengi anataka awekeze bure bila kufuata utaratibu sasa huo upuuzi nani atavumilia mwambie mengi aache ujinga bana.wala MENGI hana ugomvi binafsi na MUHONGO, MUHONGO ana ugomvi na waTZ wote waliokuwa wanaona ni vema pia waTZ wakawekeza kwenye GESI matokeo yake akasema hatuwezi labada tufanye biashara ya juice kwa yeyote mwenye akili atakubaliana nami kuwa muhongo aliwatukana wa TZ wote kuwa hawawezi, kiburi dharau majigambo majisifu ndio hayo yanamwandama MUHONGO na yatamfuta kabisa kwenye siasa za TZ kama asipojirekebisha, ajifunze kuheshimu watu kusoma si kila kitu.
Mengi ni mwizi kitambo sana siyo mtu wa kumchekea hata kidogo amejilimbikizia mali kiutapeli pasipo kufuata utaratibu kitu ambacho muhongo hajataka kifanyike ndiyo mengi anamchukia muhongo balaa.
Ni kweli Mengi na Muhongo inaonekana wana ugomvi wao binafsi ila pamoja na ugomvi huo, alichofanya Mengi ni ku-take advantage tu ya makosa ya Muhongo kummaliza.Hii maana yake ni kwamba,Muhongo bado ana makosa yake mwenyewe na Mengi hahusiki na makosa hayo hivyo wa kulaumiwa hapa ni Muhongo mwenyewe na wala si Mengi.
Alichofanya Mengi ni sawa na kinachofanywa na vyama vya upinzani nchini ku-take advantage ya makosa ya CCM kuimaliza kisiasa kama jinsi UKAWA walivyo-take advantage ya sakata la Escrow kuimaliza CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa hivi karibuni.
Kwa maana hiyo,kama ambavyo CCM hawawezi kuilaumu UKAWA kwa makosa yao wenyewe,vivyo hivyo,Muhongo hawezi kumlaumu Mengi kwa makosa yake mwenyewe.
Swali la msingi hapa;je Muhongo hakutena makosa hayo au alitenda na kama alitenda, Mengi anaingiaje hapo?
Na kama Mengi anashabikia makosa ya Muhongo; je ana tofauti gani na sisi wengine tunaofanya hivyo?
Kwahiyo kwa Kikwete kuendelea kumlinda Muhongo, maana yake ni kuihujumu CCM na wala si kumkomoa Mengi kama inavyofikirika na wengi.
mwenye uwezo wa kufikiri ccm alikuwa mmoja tu MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE kikwete ni mgoni tu
Hivi makosa ya Muhongo ni yepi? Tumetajiwa ya Tibaijuka ila ya Muhongo hatujaambiwa
Leo hii hakuna hata wa kumkemea Jk!
Hakuna mtanzania aliyekatazwa kuwekeza ila masharti lazima yazingatiwe wakati mengi anataka awekeze bure bila kufuata utaratibu sasa huo upuuzi nani atavumilia mwambie mengi aache ujinga bana.
Hivi makosa ya Muhongo ni yepi? Tumetajiwa ya Tibaijuka ila ya Muhongo hatujaambiwa
sasa Y MASWI N WEREMA WANAKAA BENCH?Huyo CAG unayemzungumzia pengine ni waukawa kwani hakuna page hata moja kwenye tarifa ya CAG inayosema zile pesa ni za umma.
Werema is out.Naona unahukumu bila uhakika.
Makosa ya kuhukumu bila kuwa na uhakika ndiyo ambayo Kikwete hayafanyi na kasema wazi juzi, bado anachunguza kuhusu Mhongo ili aweze kufanya maamuzi.
Ni nini usichokielewa?
dondosha evidensi basiiiiiiiukweli ni kuwa mengi halipi annual rent za viwanja anavyomiliki vya madini , anafanya udalali wa viwanja vya madini na haviendelezi sasa akiambiwa ukweli anakuja juu, iweje tajiri mkubwa kama yeye asilipe wakati wadogo wanalipa hapa muhongo yupo sahihi.
Mengi anatumia media vibaya kuchafua watu kwa faida yake, tuwe wakweli na nchi itaendelea.
Kwahiyo kwa Kikwete kuendelea kumlinda Muhongo, maana yake ni kuihujumu CCM na wala si kumkomoa Mengi kama inavyofikirika na wengi.
Mengi hashabikii makosa ya Muhongo, anafadhili kuhalalisha Muhongo aonekane mwenye makosa
Ukweli ni kuwa Mengi halipi Annual rent za viwanja anavyomiliki vya madini , anafanya udalali wa viwanja vya madini na haviendelezi sasa akiambiwa ukweli anakuja juu, iweje tajiri mkubwa kama yeye asilipe wakati wadogo wanalipa hapa Muhongo yupo sahihi.
Mengi anatumia Media vibaya kuchafua watu kwa faida yake, tuwe wakweli na nchi itaendelea.