Kikwete enzi hizo

Mipicha ya nyerere inaboa..
Yanaboa kwanini?upo ulivyo leo kutokana na mchango wa huyu mtu,amani iliyopo,popote nchi hii ukienda unakaa kama upo kwenu hakuna anaekubagua leo unasema anaboa? tatizo mnafundishana ujinga mkikutana kwenye vijiwe vyenu.
 
Acha ulofa Hata angekuwa baba yangu tungepata uhuru kwa wakati huo... Nyerere ni mtu wa kawaida na aliwatesa sana wapigania uhuru wa kweli..
 
Yanaboa kwanini?upo ulivyo leo kutokana na mchango wa huyu mtu,amani iliyopo,popote nchi hii ukienda unakaa kama upo kwenu hakuna anaekubagua leo unasema anaboa? tatizo mnafundishana ujinga mkikutana kwenye vijiwe vyenu.
Hivi hakukuaga na amani ee?
 
Update
- Chanzo cha picha: What’s at stake in Tanzania’s constitutional referendum? Part III: Familiar principles, new rights and responsibilities
- Ahsante kwa mdau kuniandikia PM na kuweza kutoa utambulisho
1544174967752.png

1544175653959.png
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom