kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

leo kageuka kuwa mwalimu wa kiswahili...

1399895039620.jpg
 

Attachments

  • 1399895157364.jpg
    1399895157364.jpg
    61.2 KB · Views: 304
Wafanyakazi wa kampuni ya AtoZ wamesombwa kwa nguvu kwenda kujaza uwanja, kuna mzee mmoja ( I think GM) wa kampuni hiyo ni kada mwaminifu wa ccm, Mr Abeid, sunflag nadhani wamekataa wito huo.
 
Hao watoto wakirudi manyumbani wachapwe mboko za kutosha, that is an absolute abuse to our glory land!!

Watoto kwenda kumsikiliza Rais msanii na tapeli ni sawa na kwenda kwenye banda la video!!
 
Sio arekebishe admin afute kabisa huo ushuzi wake alioandika kusoma na kuandika tabu anaweza kupambanua jambo linalomuhusu rais wa nchi hii ni shida hivi vile vitabu vya kusoma kwa hatua bado vipo?asaidiwe huyu
Nenda kasome maana ya ushuzi kwenye kamusi,utatambua kuwa ushuzi hauandikiki,hivyo kilichoandikwa sio ushuzi.

Pia,mtoa mada hakuwa anapambanua jambo bali anawasilisha jambo na kulifafanua kwa mtazamo wake binafsi(in JF is where we dare to talk openly) haijalishi ni rais au yeyote.

Vitabu vya kusoma kwa hatua siku hizi vipo version nyingi mno kwasababu ya mapungufu mengi ya rais na watendaji wake.Ni vyema ungependekeza kwa kukitaja kwa jina kitabu hicho,vinginevyo usemi wako utabaki kuwa ni bla-bla tu.

Nimekusaidia kwanza wewe,kwani umeonesha uhitaji zaidi ya uliyempendekeza asaidiwe.
 
Huyo kikwete aliyeko nigeria labda ni ule mzimu wa babu yakoo umemfananisha nae

Mkuu alikuwa Nigeria akaenda Congo kuongea na Mbwana Samata na leo yuko na wauguzi matokeo yake watoto na wafanyakazi wa A to Z walikuwa wamejazana huku wauguzi wakiwa kama 20 tu hii aibu haijawahi kumpata rais aliyeko madarakani kuvupata mahudhurio mabovu kiasi hiki...
 
kayika - KATIKA
anaeongoza - ANAYEONGOZA
kutembekea - KUTEMBELEA
aliotalajia - ALIYOTARAJIA
shighuli - SHUGHULI
maazimisho - MAADHIMISHO
ukilanja - UKIRANJA
wamelazomishwa - WAMELAZIMISHWA


Mkuu Crashwise hebu jifunze kuandika kwanza. Haya ya Kikwete yako juu ya uwezo wako
cc: FaizaFoxy

Mkuu Msalani si unajua tena smartphones na touch keyboard mkuu. Halafu unaandika kwa haraka haraka maana watu wa mabomu watakuwepo, tigo nao, usalama nao, FFU nao!!! Usisahau askari kanzu!!! Ni nani asiyetaka uhai wake?
 
Ulivyokimbilia kuandika sijui hata kama umevaa nguo zote, loooh,
leta picha tuone huu uongo wako.
 
kata 3 chopa 3 ndiyo aibu.
Hata kumchagua monitor and monistress darasani unapoweka wagombea wawili hata wote wawe competent kiasi gani kuna kushindwa tena kwa karibu au kwa mbali!!! Sembuse Siasa za wizi wa kura? Iko siku!!! Demography is on!!!
 
Jamani, kikwete si yupo Congo sijui Kenya!
Ndiyo Rais wako, hachoki safari!!!! Kiboko!!! Yuko Arusha mkuu na si ajabu kusikia kuwa kesho yuko ughaibuni!!! Hivi yule mzungu discovery of undiscovered in Tanzania alikuwa anaitwa nani tena?? VD!!!
 
Back
Top Bottom