kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

vijana wa arusha wanahuzuni sana baada ya lema kusababisha uchumi wao kushuka

lakini akiitisha mkutano hata bila kutangaza watu wanajitokeza...ni jimbo gani ambalo uchumi umepanda...
 
chaajabu watu wazima ni kutokabkiwanda cha A to Z... wauguzi ambao ndiyo wahusika hasa hawafiki hata 20..
 
kayika - KATIKA
anaeongoza - ANAYEONGOZA
kutembekea - KUTEMBELEA
aliotalajia - ALIYOTARAJIA
shighuli - SHUGHULI
maazimisho - MAADHIMISHO
ukilanja - UKIRANJA
wamelazomishwa - WAMELAZIMISHWA


Mkuu Crashwise hebu jifunze kuandika kwanza. Haya ya Kikwete yako juu ya uwezo wako
cc: FaizaFoxy

hapa ninapoandika pembeni yangu kuna vikuruta kutoka CCP hivyo naandika kwa kuhofia kucha zangu...
 
Taarifa hii imfikie MTU MUONGO sana aitwaye MSALANI , KWA MWAKA MZIMA AMEKUWA AKITUAMINISHA KWAMBA CDM IMEKUFA ARUSHA NA CCM INAFUFUKA .
 
Taarifa hii imfikie MTU MUONGO sana aitwaye MSALANI , KWA MWAKA MZIMA AMEKUWA AKITUAMINISHA KWAMBA CDM IMEKUFA ARUSHA NA CCM INAFUFUKA .

leo kageuka kuwa mwalimu wa kiswahili...
 
Natamani sana mkuu Crashwise kama wananchi wote mikoa yote ingejitambua kama Arusha. Ili hii ni ishara tosha haihitaji kumtafuta daktari wa kukupima homa. Hongera Mr. President.
 
uhudhulie kama uko Arusha hii ni aibu kwa rais kususiwa na wananchi...

Weye mbona kukinajisi Kiswahili kiasi cha kututia mashaka ....!?

Haya ---- lako nini juu ya maneno yako yalojawa uchovu na kukoswa hamasa ...!?
 
kayika - katika
anaeongoza - anayeongoza
kutembekea - kutembelea
aliotalajia - aliyotarajia
shighuli - shughuli
maazimisho - maadhimisho
ukilanja - ukiranja
wamelazomishwa - wamelazimishwa


mkuu crashwise hebu jifunze kuandika kwanza. Haya ya kikwete yako juu ya uwezo wako
cc: faizafoxy
viloba vya konyagi viko kazini hajui ata anacho andika
 
vijana wa arusha wanahuzuni sana baada ya lema kusababisha uchumi wao kushuka

Wapi hao mkuu? Wale wanaoshinda pale kaloleni nyuma ya ofisi magamba mkoa kwa yule muuza magazeti? Wale wanaovaa viblauzi vya kijani na njano sio? Aaah wale lazima walie sana tu acha kihuzunika kwa kuwa walikuwa waamezoea kula hela za bure kwa kuzunguka kwenye maofisi na maduka mjini kuomba hela kwa kisingizio cha kutumwa na chama ili chama kiwalinde hao wafanyabiashara, sasa huyo Lema kawaweka wafanyabiashara sawa, hakuna kutoa hata mia kwa magamba, hata Rama kalamba siku hizi amejichokea masikini, kweli Lema mbaya sana.
 
kayika - KATIKA
anaeongoza - ANAYEONGOZA
kutembekea - KUTEMBELEA
aliotalajia - ALIYOTARAJIA
shighuli - SHUGHULI
maazimisho - MAADHIMISHO
ukilanja - UKIRANJA
wamelazomishwa - WAMELAZIMISHWA


Mkuu Crashwise hebu jifunze kuandika kwanza. Haya ya Kikwete yako juu ya uwezo wako
cc: FaizaFoxy

Sio arekebishe admin afute kabisa huo ushuzi wake alioandika kusoma na kuandika tabu anaweza kupambanua jambo linalomuhusu rais wa nchi hii ni shida hivi vile vitabu vya kusoma kwa hatua bado vipo?asaidiwe huyu
 

Attachments

  • 1399894703284.jpg
    1399894703284.jpg
    58.5 KB · Views: 331
  • 1399894766831.jpg
    1399894766831.jpg
    68.4 KB · Views: 309
Wewe mtoa mada muongo kikwete yupo nigeria huyo unaemuengelea labda n aliemzalisha mama ako
 
hapa ninapoandika pembeni yangu kuna vikuruta kutoka CCP hivyo naandika kwa kuhofia kucha zangu...

Ubwege kitu kibaya sana katika mapito upitayo na utaendelea baki na fitna za kikanda + udini + ukabila = maporomoko ya uchumi na kukosekana kwa AMANI.
 
kayika - KATIKA
anaeongoza - ANAYEONGOZA
kutembekea - KUTEMBELEA
aliotalajia - ALIYOTARAJIA
shighuli - SHUGHULI
maazimisho - MAADHIMISHO
ukilanja - UKIRANJA
wamelazomishwa - WAMELAZIMISHWA


Mkuu Crashwise hebu jifunze kuandika kwanza. Haya ya Kikwete yako juu ya uwezo wako
cc: FaizaFoxy
Masahihisho yako yanadhihirisha kuwa umepata na kuelewa ujumbe barabara.
 
Back
Top Bottom