President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,546
- 89,514
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametunuku Shahada za Awali, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu katika Mahafali ya 55 (Duru la Pili) ya chuo hicho kikongwe kuliko vyote nchini.
Jumla ya wahitimu 2,742 walihudhurishwa kwenye mahafali hayo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Kati ya wahitimu hao, wanawake ni 1,510 sawa na asilimia 55.0, huku wanaume wakiwa 1,232.
View: https://www.instagram.com/reel/DRMtxHsAiqk/