Balozi Daraja inasemekana alifukuzwa kazi akiwa katika msafara wa Rais nchini marekani, baada ya muda wake waziada kuisha , na kurudi nyumbani kwa kupangiwa kazi nginine, muheshimiwa huyu kwa sasa hana kazi,
kwa wachunguzi wa mambo wanasema hakuwa mwanamtandao, hayo ndiyo matumda yake, pia hakupenda muungwana kuukwa Urais
mwenye habadi zaidi atuwekee hapa JF.
mwenye habadi zaidi atuwekee hapa JF.
si kweli kuwa Rais alimfukuza kazi Daraja Hotelini...Balozi Daraja aliitwa kurudi nyumbani kumalizia muda wake aliokuwa ameongezewa kama "Mshauri wa Rais wa mambo ya Kidiplomasia" (or something with that effect). Yeye mwenyewe hakufurahia hivyo kwania alishawahi kufanya hiyo kazi huko nyuma. Hivyo alichukulia kitendo hicho kama demotion hasa baada ya kampeni ya "Daraja aondoke".. iliyodumu kwa muda kidogo. Sasa hivi amebakiza miezi michache tu katika utumishi wa serikali na hatosahau Detroit.. kamwe.
Balozi Daraja inasemekana alifukuzwa kazi akiwa katika msafara wa Rais nchini marekani, baada ya muda wake waziada kuisha , na kurudi nyumbani kwa kupangiwa kazi nginine, muheshimiwa huyu kwa sasa hana kazi,
kwa wachunguzi wa mambo wanasema hakuwa mwanamtandao, hayo ndiyo matumda yake, pia hakupenda muungwana kuukwa Urais
mwenye habadi zaidi atuwekee hapa JF.
Black angel hiyo ni habari ya 2007ndo wakina nani hawa?
Kakutana na kaburi linalomzidi uwezoUkome kufukua makaburi.