Kikwete amfukuza kazi Balozi Hotelini New York

Hasara

Senior Member
Dec 29, 2006
138
9
Balozi Daraja inasemekana alifukuzwa kazi akiwa katika msafara wa Rais nchini marekani, baada ya muda wake waziada kuisha , na kurudi nyumbani kwa kupangiwa kazi nginine, muheshimiwa huyu kwa sasa hana kazi,

kwa wachunguzi wa mambo wanasema hakuwa mwanamtandao, hayo ndiyo matumda yake, pia hakupenda muungwana kuukwa Urais

mwenye habadi zaidi atuwekee hapa JF.
 
Hasara, mbona umeandika as if ni jambo limetokea sasa hivi, I mean content na kichwa chenyewe cha habari vinatofautina kiaina, au lengo hapa ni lipi hasa?
 
Hi imetokea lini maana JK kapiga safari za US mara nyingi
 
si kweli kuwa Rais alimfukuza kazi Daraja Hotelini...Balozi Daraja aliitwa kurudi nyumbani kumalizia muda wake aliokuwa ameongezewa kama "Mshauri wa Rais wa mambo ya Kidiplomasia" (or something with that effect). Yeye mwenyewe hakufurahia hivyo kwania alishawahi kufanya hiyo kazi huko nyuma. Hivyo alichukulia kitendo hicho kama demotion hasa baada ya kampeni ya "Daraja aondoke".. iliyodumu kwa muda kidogo. Sasa hivi amebakiza miezi michache tu katika utumishi wa serikali na hatosahau Detroit.. kamwe.
 
Detroit whaat....Detroit whaat...
Ebwana Kid Rock vipi tena? Kaja A-Town halafu anajifanya mtemi na kuanza kupiga watu. Ananyea debe tu sasa hivi DeKalb County jail...
 
ungejua we mwanakjj ulisemwa sana pale DC.. hasa kuanzisha kipindi kizima kumsema mzee wa watu vile.
 
Balozi Daraja inasemekana alifukuzwa kazi akiwa katika msafara wa Rais nchini marekani, baada ya muda wake waziada kuisha , na kurudi nyumbani kwa kupangiwa kazi nginine, muheshimiwa huyu kwa sasa hana kazi,

kwa wachunguzi wa mambo wanasema hakuwa mwanamtandao, hayo ndiyo matumda yake, pia hakupenda muungwana kuukwa Urais

mwenye habadi zaidi atuwekee hapa JF.

BB_King_Supprise.gif
 
Back
Top Bottom