Now this ndio tunaita good news ambazo zinafanyika kila siku ya Mungu kwa wananchi wetu, ambazo zinathibitisha nia na baadhi ya ahadi zilizotolewa na rais wetu wakati wa kampeni za uchaguzi.
Rais aliahidi mambo mengi, ambayo ndio maana sasa hivi ni haki yetu wananchi kum-question pale tunapoona kuwa kuna some lack of seriousness kutoka kwake, kwa mfano ishu za rushwa na mikataba mibovu ya madini, hata cc nayo pia imemkumbusha rais kuwa eneo hilo linahitaji some attention na rais kwa unyenyekevu mkubwa amekubali kuyaangalia zaidi masuala hayo, lakini wananchi bado pia tunamwambia kuwa aliyokwisha yafanya so far hayatoshi, na maneno yake pia hayatoshi, ujumbe umefika na rais wmenyewe kwenye hotuba nyingi za kribuni amekubali hilo la kuupata ujumbe wa wananchi.
Suala la umatonya, hatuwezi kulirekebisha kama collectivelly as a nation and society, hatuwezi kuliangalia kwanza lilikoanzia, maana ni bin-adam juha tu ndiye anayeweza kuangalia mbele tu anakokwenda bila ya kuangalia nyuma alikotoka kwanza. tukaweza kujua ni kwa nini lilianzishwa anyways? Ukweli ni kwamba lilianzishwa kutokana na the fact kwamba wazungu ambao wamekuwa watawala wetu kwa muda mrefu toka hatujawa huru, na hata sasa baada ya kuwa huru kwa njia za ujanja,
sisi hatukuwa na maendeleo kwa standard za wazungu, kwa hiyo hatukujua value ya any of all the natural resources tulizokuwa nazo, ni wazungu tu waliokuja kututawala ndio waliokuwa wanajua kwa hiyo wakachukua sana na kutengeneza big profits ambazo waliishia kuzi-invest in USA to this day, sasa out of guilty wazungu wakaamua kuwa watakuwa wakitupatia na sisi angalau chochote, out of almost 15 Billion US Dollars kwa hesabu ya mwaka 2001, ambazo wao wamekuwa wakipata toka Afrika, kila mwaka tena tax free!
The matter of fact to this day bado kuna a very valid argument among our African's leaders, kwamba hiii misaada tunayopewa na hawa wazungu kama kweli ni misaada au wanaturudishia hela zetu tu "wanazotuibia". Kwa hiyo la msaada rais wetu amelirithi na hatuwezi kutegemea alitatue in two years ishu ambayo tumeishi nayo for the last 42 years, Wananchi mara nyingi kwa kupitia kura za uchaguzi mbali mbali, wamekuwa wakisisitiza kuwa hii kwao sio ishu so far, kwa mfano uchaguzi wa Tunduru, na majuzi juzi udiwani kwamba la upinzani na misaada sio namba one ishu kwao,
Sasa hivi kwa kuzisoma kura kuanzia za udiwani, mpaka za NEC ni kwamba wananchi wanataka ishu ya rushwa na mikataba mibovu ya madini itatuliwe kwanza, hayo mengine baadaye na rais amekubali kwa hotuba zake mwenyewe za hivi karibuni, sasa mimi kama mwananchi mwenye uwezo kidogo wa kuelewa ishus, ninahitaji kumpa rais wangu nafasi ya kupumua na hizi ishus ili aweze kuzitatua with a permanent solution na sio temporary one ya baadhi yetu ya kutaka kuona tu viongozi wa juu wakifukuzwa au kukosa kazi, wakuu nchi haiongozwi namna hiyo kwa kumkaba rais tu kila kukicha bila hata ya kumpa nafasi ya kuyatafakari yaliyoko usoni kwake,
Kwa kweli kama uchaguzi wa majuzi Dodoma, sio enough kuonyesha nia njema ya rais wetu, kwa hili taifa basi sidhani kama kuna siku atakuja fanya jema kwa wenzetu wa upande wa pili ambao siku zote huangalia ishus za taifa letu kwa makengeza, wananchi tumpe nfasi rais apumue kidogo huku alijaribu kutimiza aliyoaahidi na pia kuyafanyia kazi yale yanayoshauriwa na wale ambao wananchi automatically wamewapa hiyo kazi, yaani upinzani, lakini sio sasa kazi waliyopewa ni kukaripia serikali na rais tu kila kukicha, hapana maaana hata kule Egypr na Jangwani, wana wa-Israeli walipozidisha kumshambulia mtume Musa kila kukicha Mungu aliwaadhibu kwa kuwazungusha mahali hapo hapoi 40 years, tuwe waangalifu kidogo tusije na sisi tukawa tunazungushwa kutokana na hizi kelele zsizokwisha wala kupumzika kama za wenzetu walipokuwa na Musa kule Jangwani!
Haya wakuu tuendelee kukata ishus kiroho mbaya mpaka kieleweke hapa hakuna kulala! Kumkoma nyani mpaka giladi tena mchana waziiiiii!
Ahsanteni Wakuu Mungu Aibariki Tanzania!