bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,030
- 5,772
kagame ni mafia na katili kuliko tunavyomjua na ata kikwete anaweza kumuua juu kwa juu bila kutumia majeshi huyo jamaa ni hatari sana nawashauri tissccm wanaopita humu wawe makini sana kagame ni hatari na tayari kashasema atamuadabisha basi mkulu be very carefully.