mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 731
Kwelii JK simpendi bt kwa hili hapana aysee he is ryt ILA AACHE KUINGILIA YASIYOMUHUSU.....then kama ugomv bac uwe wa JK na KAGAME na sio TANZANIA NA RWANDA.
kama ni ugomvi binafsi basi angemsubiri atoke madarakani, kikwete ndiyo watanzania. Akitukanwa tumetukanwa wote uwe umempa kura au haujampa. Nakereka sana na kejeli za slim boy, pindi vita rasmi itakapotangazwa nitakuwa wa kwanza kwenda kigali kukileta kichwa cha kagame